American Dream vs Tanzania Drama

American Dream vs Tanzania Drama

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Hili neno liheshimiwe kabisa kuwa tanzania ni nchi ya drama kama wafanyavyo serikali ya ccm.Hivi unawezaje kuchezea mahakama kwa kupata mihuri alafu na wakuu wa wilaya na mkoa kuweka sahii zao kisha ukakataa kuwa sio nyie kuhusu ngorongoro.

Inakuwaje swala la utekaji asilimia kubwa ni jeshi la polisi ila sijasikia jeshi la polisi likijilaani kwa wanayofanya wakati wamefanya.

images.jpg
 
Back
Top Bottom