Pengine ni Wawekezaji nilisikia Wanataka kuueneza Huu mchezo kwetu uenee Tutazisahau Simba na Yanga Kama Pamba ya Mwanza.. Najaribu kuusoma pengine utatuondoa kwenye kichwa cha mwendawazimu au msemo wa Sasa MwendaKilaza.!Hawa jamaa wamekuja kufanya nini?