Americans still wants to know why Corona Virus is not killing Africans as they expected

Nimesikia tayari wamejipanga kujaa kutalii bila kujali jangali hili duniani kote,isije ikawa hao watalii wanatafuta mahali pa kujisitiri/kwa kupumzika kwa muda maana huko kwao ulaya na marekani watu wanaisha kwa corona!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika habari ndefu lakini hujataja ni mtu mwenye wadhifa gani aliyetamka hivyo kiasi cha kufanya habari itaje generally kuwa ni 'Americans'. Hapa sana sana naona kama vile umechukua comments za watu kwenye forum fulani halafu ukaja kuwaita kuwa ni 'Americans'. Umeweka picha ya Trump lakini hujaweka nukuu yake yoyote kuonyesha uhusika wake katika habari yakoTuache inferiority complex, kila kitu kujishtukia shtukia. Yaani ni kama atokee mtu akosoe sera za awamu hii mfano, hiyo haihalalishi kusema Watanzania wanakosoa sera za serikali yao
 
Nimesikia tayari wamejipanga kujaa kutalii bila kujali jangali hili duniani kote,isije ikawa hao watalii wanatafuta mahali pa kujisitiri/kwa kupumzika kwa muda maana huko kwao ulaya na marekani watu wanaisha kwa corona!
Kwani wamewalazimisha kufungua mipaka? Acheni upuuzi, Tanzania ndio imefungua anga na imewaita watalii waje. Sasa hapo utasemaje kuwa wao 'wamejipanga'? Inferiority complex, shida tunayo sisi, tumewaita waje walete hela, wala si lazima waje ila tunawataka, kwa hiyo sisi ndio 'tunawapanga', sio wao 'wanajipanga'
 

The disease was secretly manufactured in a laboratory for the purpose of eradicating Black men from the face of the earth.

As it is known already, there have had been such plan through Vaccination, addition of macro nutrients (the so called fortification, ref,SANKU ) in our processed foods like Maize flour,civil Wars etc, all these are plots to make sure Black peoples are terminated.

They failed to terminated us or they had no plan of doing so during colonial era but this time due to the immense needs of raw materials, the only way, they think, may work is to eradicate or at least to depopulate black men and in turn come back in numbers to in habit Africa and recolonise it. All the Chinese and Europeans, USA have the same plan. It is not but God who have been saving us from many mischievous actions against us by the Europeans etc. Thanks to Him.

I think, in our case the TFDA here in Tz have to review and make a thorough check up on the fortifications elements put in Maize flour etc, to see if they are not health hazardous as si far we aware of what is going on, had it not been the death of thousands of them we could have not got the secret, that is God turned the table to them as a punishment such that they could not keep the secret any longer and at their suprise they say; "Why are those niggas don't die in numbers??!!"🤣--- they reap what they sowed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…