Amesimamishwa kazi,afanye nini?

Mparee Halisi

Senior Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
104
Reaction score
8
Afanye nini mtu aliyesimamishwa kazi ya Ualimu na anatakiwa apate haki gani kwa kipindi hiki?alienda kusoma bila ruhusa,Asanteni kwa michango yenu.
 
Afanye nini mtu aliyesimamishwa kazi ya Ualimu na anatakiwa apate haki gani kwa kipindi hiki?alienda kusoma bila ruhusa,Asanteni kwa michango yenu.
Huo ni utovu wa nidhamu na hapo unapoteza haki zote za msingi, mshauri akatafute kazi nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…