Rodwell mTZ
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,455
- 1,621
Anaweza kusoma course nyingi tu.Hamjambo wanajamii forum? Naombeni mnijuze,mtoto wangu kamaliza form six wiki hii iliyoisha,amesoma kombi ya HGE,hivi ni kozi zipi anaweza kusoma katika level ya university? natanguliza shukurani kwenu.
Asee kama mtu mpaka unamaliza form six haujui unataka kusomea nini ni tatizo kubwa sana. Any way, chuo tunasoma kitu unachokipenda sijui wewe unapenda nini af tukushauri.Hamjambo wanajamii forum? Naombeni mnijuze,mtoto wangu kamaliza form six wiki hii iliyoisha,amesoma kombi ya HGE,hivi ni kozi zipi anaweza kusoma katika level ya university? natanguliza shukurani kwenu.
Agricultural economics and agribusiness...ni nzuri mnoHamjambo wanajamii Forum? Naombeni mnijuze, mtoto wangu kamaliza form six wiki hii iliyoisha.
Amesoma kombi ya HGE, hivi ni kozi zipi anaweza kusoma katika level ya university? Natanguliza shukurani kwenu.
mwambie ande tu veta asipoteze muda chuo kikuu. kazi hamna na degree za sasa tumepigwa tu bora tuwarudishie degree zao.
maisha bana nikichekesho ukimaliza six ukafaulu unasifiwa kasome dogo ukimaliza chuo walewale wanasema dogo mvivu huyu upo tu anashidwa hata saidia fundi.
ushauri bora ukasome ufundi nyumba miezi 6 ukimaliza uwe saidia fundi hadi hyo miaka mitatu inaisha umekua fundi unawaajiri mwenyw degree wawe saidia fundi.
kusoma ni passion yakujifunza nakujua vitu na mabadiliko ya mazingira katika maisha sio tena investment kwaajili ya return tena.
if u fail to plan u plan to fail.
take time mwanzoni uepuke ningejua mwishoni.
kila kitu ni risk prepar to take the risk.
tuache kifuata mkumbo kwa sasa.
hahahaha uko hadi raisi aseme, jiulize kwa ss walivyo toa kibali chakuajiri utasubir hadi lini tena. bora hata uhasibu wanaitajika hadi kanisani au mashuleni.Education is the best! Akimaliza ajira zipo zinacheka! Huko kwingine atazunguka na cheti hadi anakitupa!
coolboyjsen, mwache mzazi atimize ndoto zake kwa mwanaye tafadhali , kuna fahari kuona mtoto amekua msomi . Huwezi jua anaconnection gani ndo mana kauliza , huwezi jua hata huyo kijana wetu akaja kua hata mbunge ...mpe guidance ktk lile anataka.mwambie ande tu veta asipoteze muda chuo kikuu. kazi hamna na degree za sasa tumepigwa tu bora tuwarudishie degree zao.
maisha bana nikichekesho ukimaliza six ukafaulu unasifiwa kasome dogo ukimaliza chuo walewale wanasema dogo mvivu huyu upo tu anashidwa hata saidia fundi.
ushauri bora ukasome ufundi nyumba miezi 6 ukimaliza uwe saidia fundi hadi hyo miaka mitatu inaisha umekua fundi unawaajiri mwenyw degree wawe saidia fundi.
kusoma ni passion yakujifunza nakujua vitu na mabadiliko ya mazingira katika maisha sio tena investment kwaajili ya return tena.
if u fail to plan u plan to fail.
take time mwanzoni uepuke ningejua mwishoni.
kila kitu ni risk prepar to take the risk.
tuache kifuata mkumbo kwa sasa.
kweli kabisa uzur wa ushauri ni kusikiliza vingi ili uwe na lako zuri ambalo utakua nalo na kulifanikisha pia.coolboyjsen, mwache mzazi atimize ndoto zake kwa mwanaye tafadhali , kuna fahari kuona mtoto amekua msomi . Huwezi jua anaconnection gani ndo mana kauliza , huwezi jua hata huyo kijana wetu akaja kua hata mbunge ...mpe guidance ktk lile anataka.