BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
Hizi ni zama za ukweli na uwazi kama ni understanding atakuelewa tu ukimweleza hisia zako lakini uwe makini asije kukuona kicheche.
vunja ukimyaaa!...'mtokee'....au tukupe mistari???hahahahah
Huyu kaka nafanya nae kazi ametokea kweli kuuteka moyo wangu, sidhani kama anaelewa hilo ila ninaongea nae kama marafiki wa kawaida. Yani sijawahi kujisikia kama hivi kwa mwanaume mwingine.
So far nimevutiwa nae kwa jinsi alivyo pia hobbies zetu zinaendana. Ni kaka mcheshi, mkarimu, anavaa vizuri&smart(sidhani kama ni mzaire yani anang'aa nje ya nyumba tu).
Sijui kama yupo ''attached'' japo hajaoa kutokana na maongezi tunayokuwa nayo.
Je nimwambie ukweli? au atanifikiriaje?Nitaanzaje?Au nimsubiri azisome hisia?how?
NB: Nipo serious mana naamini hisia zangu za nguvu, namuwazia kuwa baba wa watoto wangu tukijaliwa kuwa wote🙂))
ha ha..natamani ningeweza kujua akili yake inawaza nini..nipe mstari na pia mazingira, tuende dinner au?
Mweleze tu BJ unaogopa nini akikuona mcharuko poa tu lakini roho yako itatulia unajua ukisema ukweli unatoa dukuduku moyoni linalokutesa
Mweleze tu BJ unaogopa nini akikuona mcharuko poa tu lakini roho yako itatulia unajua ukisema ukweli unatoa dukuduku moyoni linalokutesa
si mchezo nimekukubali the finestBJ Acha kuugulia moyoni hebu tema hizo lyrics kusudi mauzo ya singo yaende platinum
Naogopa mana huyu mtu amezingira kichwa changu.. Niambie ukweli wewe mwanaume ukiambiwa unapendwa unamchukuliaje mwanamke?BJ unaogopa kutekwa?
Duh, hapo kwenye red inayonyesha unalo jibu tayari, uko serious, unaamini hisia zako na tayari umeshaenda mpaka kuwaza habari za watoto....yaani watoto si ni mapenzi ya Mungu. What if hutawapata, je utamchukia huyo ambaye sasa hivi unamfia....mmmmhhhhhh patience, wisdom, prayer....dada haraka haraka zitakupeleka kubaya. Upendo wa kweli hauna speed hiyo yako. Ila nahushangaa unauliza wakti unasema unaamini hisia zako, basi mwambie ila akisema yuko booked tayari angali isije ikawa sasa ni kulia na kupata hysteria, ita-affect kazi yako...ndio maana ni vizuri kuwa na busara na kwenda slow....
Yani natamani ingekuwa rahisi hivyo..au nifanye ile liwalo na liwe!!..hata akisema huyo na mtu ningependa tuendelee marafiki, sijui itawezekana?!! haya najiandaa na singoBJ Acha kuugulia moyoni hebu tema hizo lyrics kusudi mauzo ya singo yaende platinum
Tafuta mahali na muda muafaka umueleze ukweli atakuelewa tu, ukishindwa tumia njia nyingine za indirect kama kuwa naye close mara nyingi sio tu ofisini bali hata siku za weekend tafuta jinsi ya kukutana naye, pia tumia vizuri mawasiliano ya simu baada ya muda wa kazi kumuandikia sms kumjulia hali yake na mambo mengine ya kawaida atakusoma tu baadae.
Haya nitajitahidi sana..huenda ikanisaidia kushusha mzigo hata kama mwelekeo sijajuamwambie ukweli usiogope
We mweleze 2 ila tatizo la sisi vidume hata akiwa na mpenzi mtalajiwa hawezi kukueleza zaidi atataka ukumege mchezo uishe uwe makini kwa hilo angalia kwanza msimaso wake!
Yani acha tu, naona vitendo viongee zaidi ya live ila bado najipanga..akikubali dinner itakuwa walaaahDinner could a good plan there is a way as you go on lazima atajua tu you are interested in him usiogope