Ni kweli wangu inahitaji umakini mana nilivyo serious usikute huyo kaka hana habari nami nikatendwa na kuumizwa..shukrani nitazingatia huo ushauri,blessed!!
sWEET LIPS...Huyu kaka nafanya nae kazi ametokea kweli kuuteka moyo wangu, sidhani kama anaelewa hilo ila ninaongea nae kama marafiki wa kawaida. Yani sijawahi kujisikia kama hivi kwa mwanaume mwingine.
So far nimevutiwa nae kwa jinsi alivyo pia hobbies zetu zinaendana. Ni kaka mcheshi, mkarimu, anavaa vizuri&smart(sidhani kama ni mzaire yani anang'aa nje ya nyumba tu).
Sijui kama yupo ''attached'' japo hajaoa kutokana na maongezi tunayokuwa nayo.
Je nimwambie ukweli? au atanifikiriaje?Nitaanzaje?Au nimsubiri azisome hisia?how?
NB: Nipo serious mana naamini hisia zangu za nguvu, namuwazia kuwa baba wa watoto wangu tukijaliwa kuwa wote🙂))
Yani sijawahi kujisikia kama hivi kwa mwanaume mwingine.
So far nimevutiwa nae kwa jinsi alivyo pia hobbies zetu zinaendana. Ni kaka mcheshi, mkarimu, anavaa vizuri&smart
i will try ma best.....sasa hebu hapa niambie luv, wewe kama wee mwanamke akikufata na kuku approach utalichukuliaje? sema ukweli umwaibishe shetani!😛ray:
BJ.........mtoto wa kike weye bana usintie aibu mwali wangu eh......body language, body language and more body language
Ongea kwa macho bi dada, ongea kwa lips, mikono (viganja), ulimi na hata kidole cha shahada. All the best
Asipokuwa mwelewa tumia lugha ya ukarimu na kujali
Hili swali limekaa kimtego luv....am choosing to reserve my comments, am well aware that whatever i say can be used against me, in your court.
BJ........onyesha unamjali .......kuwa attentive anapokuwa anaongea nawe, mfariji kimaneno pale unapomwona yuko down.cheka, furahi ukiwa naye usijaribu kuwa mtu mwingine ili umvutie lah............. mtizame kwa macho laini all the times, lips zichanue kwa tabasamu kila mara/umwonapo.....kuwa mtulivu na msmart. Mkiwa karibu mmesimama au kukaa karibu hakikisha unakuwa mtundu kwa kutumia viganja vyako laini....kitu kidogo akisema unacheka na kijikibao laini cha mgongoni mwali.............ukitakauliza kitu kwake tanduliza kiganja weka begani taratibu mtizame usoni na tabasamu pana uliza kwa sauti ya kike na upole. Kumbuka unapomfanyia hayo uwe unamsoma kama naye anapata hisia flani kwa mguso wako.............................ukishauhisi uchemistry..........jipoteze kidoooogo
sasa Mtarajiwa.....oneself inaapply pale ambapo nawe unahisi wapendwa na haikusumbui sana kama inavyomsumbua BJ.hapa hisia kwa mtarajiwa lazima zichimbuliwe huko ziliko si kusubiri zijifichuwe zenyewe loh BJ wa watu si atakuwa keshafariki kwa mapenzi??Duh....hii imekaa ki-air hostess sana MJ1....
All the acts ili kupata mme....I prefer oneself...(kama wewe-self 😛ray2:)
sasa Mtarajiwa.....oneself inaapply pale ambapo nawe unahisi wapendwa na haikusumbui sana kama inavyomsumbua BJ.hapa hisia kwa mtarajiwa lazima zichimbuliwe huko ziliko si kusubiri zijifichuwe zenyewe loh BJ wa watu si atakuwa keshafariki kwa mapenzi??
mama gaude unasikia!!!!