Ameuteka Moyo Wangu!!!!

Belinda usipate tabu kabisa mbona m2 mwenyewe ndio mm, ujumbe umeshafika sasa naufanyia kazi nakuomba out weekend hii

Thanks kwa kufikisha ujumbe wako hapa jamvini

Naona mko wengi kweli, ha ha..sasa inabidi tufanye uchaguzi mkuu (joke)
sasa ujumbe umekufikia, unaupokea vipi? ha ha...
 
Belindajacob! Mapenzi ya kweli ni safari ambayo haijalishi itachukua muda gani. Ni wazi kuwa unamtamani huyo kijana hasa kwa jinsi ulivyo mueleza kwa muonekano wa nje.

Ushauri wangu kama unampenda kweli kweli jaribu kumfahamu vizuri zaidi. Umesema hujui hata kama yuko attached nafikiri ni infatuation zaidi. Je huwa mnaongea nini? wewe ndie unaanzisha mazungumz? Kama anapenda kampani yako ujue bado anakusoma na huenda amevutiwa nawe pia?

Nahisi kama huyo kijana pamoja na kuwa mtanashati huenda anajiheshimu/mstaarabu hivyo anatarajia mtu anayejiheshimu pia. Kwa hiyo msome kwanza sio ukaanza kukurupuka na kumvalia vimini au kuzidisha mbwembwe fulani. Lakini nahisi Belinda kuwa nawe unajiheshimu hivi au hapo ndio umefika kweli kweli kiasi ile mikakati ya kike inakwama. Kwa maana wadada wa siku hizi awakawii kulazimisha mambo. Tafadhali fuatilia wa JF wanakushauri nini.
 
Nathan kuvutiwa na mtu mwenye jinsia tofauti ni jambo la kawaida. Ila nakushauri usimwambie. Yawezekana wewe umevutiwa sana na huyo mkaka lakini wewe hujamvutia kivile hadi akuambie. Ni dhahiri kwamba kama hujamvutia kwa kiasi fulan, hata ukimwambia anaweza akakubali ili akumege kisha akupotezee kiana. Hapa ndipo utaona tamu na chungu ya kupenda pasipopendeka.
 

...hiyo ni lugha kwa ishara bana.


Mbu..........aksante kwa twishen kaka. Big Up

...ahh, am humbled kwa comment yako Dakitari wangu wa falsafa kwenye uwanja huu.

Si mchezo maridadi..nahisi anafaa kwenye beg parties pia..ha ha..

...pheeww BJ, ha ha ha! Computer yangu ina ~scramble~ hayo maneno yalopigiwa msitari,
inabidi nikayatafute kwenye lyrics za love's all around :thumb:
 

Mkuu, shukrani kwa maelezo&ushauri wako..nitaendelea kumfahamu vizuri!
Kuhusu swali lako, tunaongea mambo mengi kuhusu kazi, maisha kwa ujumla ila hatujawahi kugusia mapenzi..sijui ni uoga au kiwango cha limitation kwenye maongezi..tunachat, lunch mara kadhaa na pia kukutana kwenye corporate gatherings..

Kujiheshimu ni muhimu vinginevyo na ni rahisi sana mtu kutojiheshimu ukiamua kufanya kitu fulani bila kufikiria baadae..nataka anipende siyo tuwe maadui baada ya kuwa kwa mapenzi..kiufupi ni kwamba ningependa friendship nzuri tuliyonayo izame kwenye mapenzi yani bila matatizo..ni ngumu kutabiria mwisho wake, ila acha nijipange..sitavaa kimini, ha ha Shukrani sana..
 

Nimeshtuka mana jina hilo Nathan kumbe nadhani..eniwei,sasa nifanyaje avutiwe na mimi kama nivutwavyo kwake kwa maoini yako?!..
Holy Xmas Spirit!.... hiyo avatar yako inatisha..ha ha
 

Please do maana utamdediketia wifi yetu alie kwa furaha..nice song&lyrics mpaka kwa bones..

Beg party huijui? ni vice-versa ya kitchen party..ha ha mana siku hizi wanaume nao wanafanyiwa k-party@@
 

Mwanamama kuwa na hisia ni vizuri nakushauri usijipeleke kama maharage ya mbeya. kama wako atanasa utulie
 
Always fight for what u think iz da best for u........................................
 
wangapi? vipi bado unaendelea kuwapenda wengine au umeshaacha?

naendelea kama hapa j.f nimeshampenda nyani ngadu,kaizer na kipilipili niko busy kidogo ila nitamtokea mmoja na nitakuja kukwambia nikishampata!
 
naendelea kama hapa j.f nimeshampenda nyani ngadu,kaizer na kipilipili niko busy kidogo ila nitamtokea mmoja na nitakuja kukwambia nikishampata!

astakafullah raaadhim! we mwana!
 
...updates, please (?) :ranger:
 
umeme umezimwa, acha tuvumilie mpaka tanesco walejeshe umeme hewani.

...dah, ndio kusema hata mafuta ya kibatali yamechakachuliwa?
haya bana, subira yavuta heri.

Wengi walimshauri BJ amtoe jamaa out. Hivi outting ya maana ni wapi?
Dinner? Cinema? Clubbing? au?...

Nimekumbukia enzi zile za upweke, unapomsindikiza mrembo kwake unavizia, "karibu basi ndani japo upate kinywaji,..!..." :A S 8:
 
[..atakapobugi step kufungua kinywa chake kukueleza jambo ulilokuwa unalitamani usichezee chancee..ui2mie ipasavyo kukamilisha lengo lako.....kama ni rijali kama wanaume wengine atahamacka lazima.[/QUOTE]

we nyama we!umenifurahisha sana ndugu,yani hapo jamaa anakua kaelekea kibra mwenyewe,afu unaongeza mitego kiduchu,kwisha habaari yake!we BJ fuata hii advice na ukifikia this stage usianze tena pozzz,utampeperusha!mi mwenyewe nilikamatwa hivihivi,nikaelekea altareni na ka-junior kangu kana mwezi sasa!zingatia ushauri wa huyu m-dada mwenzio,utakulipa.
 

BelindaJacob,

Muulize huyo rafiki yako, mpenzi mtarajiwa kama ni member wa JF. Kama si member mshauri ajiunge na JF. Akishafanya hivyo,ukishaijuwa nickname yake , umwombwe invinsible amtumie link hapo chini kama welcome note.
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/92640-ameuteka-moyo-wangu-8.html

Good luck!
 
Mwanamama kuwa na hisia ni vizuri nakushauri usijipeleke kama maharage ya mbeya. kama wako atanasa utulie

Asante Miss Pirate...nilikuwa sijapitia hii thread yangu kitambo


Always fight for what u think iz da best for u........................................

Tunga, so true mkuu!!..thanx man


naendelea kama hapa j.f nimeshampenda nyani ngadu,kaizer na kipilipili niko busy kidogo ila nitamtokea mmoja na nitakuja kukwambia nikishampata!

eeh Faithful naona una kifua besti!..kila la kheri, utanijulisha imeendajeπŸ™‚))


astakafullah raaadhim! we mwana!

Hilo shtuko kali, si anataka kufikisha hisia zake kwa haridha aliyokusudia.. ha ha ha
 
...updates, please (?) :ranger:

Stay tuned..yani huwezi amini ilivyoenda...smile...

umeme umezimwa, acha tuvumilie mpaka tanesco walejeshe umeme hewani.

Haujazimwa yakhe..yani updates ndani ya wiki utazipata...ooh!!..sijui nianzie wapi,eniwei nitakuja na full mkanda



Utapata majibu yote soon..ha ha
tatizo man ure wameniharibia wikiend ila ningeweka updates sasahivi..lol


Vipi kaka!!

Katavi siyo siri avatar yako inanichekesha hata nikiwa nimenuna..hayo macho,mweeeh!!


BJ you are lucky

How Kelvin?mmh wakati mwenzio nilijawa na mawazo sana juu ya hili suala..thanx tho!!



Asante Rubuye, nilimsoma vizuri Nyamayao mana alienda straight kwa point..aisee hongera zako mpaka altareni mlifikishana!!



Kiukweli jamaa siyo member wa jf na haelewi kitu hata akiniona nasoma labda atumie google toolsπŸ™‚)) ingekuwa vinginevyo ningempa hiyo link ha ha ili ujumbe umfikie indirect..Shukrani Nonda!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…