Nathan kuvutiwa na mtu mwenye jinsia tofauti ni jambo la kawaida. Ila nakushauri usimwambie. Yawezekana wewe umevutiwa sana na huyo mkaka lakini wewe hujamvutia kivile hadi akuambie. Ni dhahiri kwamba kama hujamvutia kwa kiasi fulan, hata ukimwambia anaweza akakubali ili akumege kisha akupotezee kiana. Hapa ndipo utaona tamu na chungu ya kupenda pasipopendeka.
Hiyo ilikuwa 2nd of December, Leo ni 7th Feb...
Any feedback ???
BJ mko kwenye PRACTICAL na THEORY sessions kwanza kabla ya FINAL DECISIONVery soon VOR...subira yavuta heri!!..ha ha
Huyu kaka nafanya nae kazi ametokea kweli kuuteka moyo wangu, sidhani kama anaelewa hilo ila ninaongea nae kama marafiki wa kawaida. Yani sijawahi kujisikia kama hivi kwa mwanaume mwingine.
So far nimevutiwa nae kwa jinsi alivyo pia hobbies zetu zinaendana. Ni kaka mcheshi, mkarimu, anavaa vizuri&smart(sidhani kama ni mzaire yani anang'aa nje ya nyumba tu).
Sijui kama yupo ''attached'' japo hajaoa kutokana na maongezi tunayokuwa nayo.
Je nimwambie ukweli? au atanifikiriaje?Nitaanzaje?Au nimsubiri azisome hisia?how?
NB: Nipo serious mana naamini hisia zangu za nguvu, namuwazia kuwa baba wa watoto wangu tukijaliwa kuwa woteπ))
BJ mko kwenye PRACTICAL na THEORY sessions kwanza kabla ya FINAL DECISION
Nimeshasikia kilio chako bana, nimehisi kuwa ni mimi na wewe! Nitakuonyehsa suprise kazini! Sitakuambia siku ila kuna siku nitafanya kitu utakubali! Mengine haya yatajipa menyewe! kabisaaaaaaaaaaaa
Niambie usiogope.
Mmh, are ya talking about me~you just spill the beans BJ, I will think about it.Huyu kaka nafanya nae kazi ametokea kweli kuuteka moyo wangu, sidhani kama anaelewa hilo ila ninaongea nae kama marafiki wa kawaida. Yani sijawahi kujisikia kama hivi kwa mwanaume mwingine.
So far nimevutiwa nae kwa jinsi alivyo pia hobbies zetu zinaendana. Ni kaka mcheshi, mkarimu, anavaa vizuri&smart(sidhani kama ni mzaire yani anang'aa nje ya nyumba tu).
Sijui kama yupo ''attached'' japo hajaoa kutokana na maongezi tunayokuwa nayo.
Je nimwambie ukweli? au atanifikiriaje?Nitaanzaje?Au nimsubiri azisome hisia?how?
NB: Nipo serious mana naamini hisia zangu za nguvu, namuwazia kuwa baba wa watoto wangu tukijaliwa kuwa woteπ))
nakushauri usimwambie!
kama anakuhitaji atakwambia sbb lazima tu kuna vidalili umemuonesha!
kumuanza mwanaume ni big no nooo hamna cha zama za uwazi wala cha nini nioneni mshamba tu lkn huo ni mtazamo wangu!
wengine hata kama alikua anapanga jinsi ya kukuanza ukimtongoza tu unamkata stimu zote.
anyway Belinda huu ni ushauri tu wewe ndio utakayeamua upi wa kufuata na upi wa kupotezea ila nakutakia kila la kheri!
Mmh, are ya talking about me~you just spill the beans BJ, I will think about it.
Kama ushauri wa msingi ni huu ulopewa na Cheusi, usirogwe kumwambia.... ukweli ni kwamba ukimwambia atakukanyaga na kukuacha na hapo ndio utakapoumia zaidi na kuja kutusumbua tena ukitaka ushauri.... jaribu kumuonesha signs tu na ataona kama mtakuwa mna-'vibrate on the same frequecy' asipoona jua hauko kabisa kwenye mawazo yake, hivo wala hata usisumbuke... Pole sana ndio ukubwa!!!!:coffee:
Hiyo ilikuwa 2nd of December, Leo ni 7th Feb...
Any feedback ???
Very soon VOR...subira yavuta heri!!..ha ha
Nahisi hajafanikiwa bado, au hajasema kabisa . . . la sivyo angelianzisha li-sredi la MAFANIKIO lol
ha ha ha