Amfumania mumewe akipopolewa na hausi boy

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,730
Reaction score
9,088
Shalom wana jamvi.

Kuna rafiki yangu ameolewa na the most handsome boy, lakini huyu mwanamume tulipokuwa tunasoma chuo ilikuwa inasemekana anapigwa miti na prof. Baada ya miaka kadhaa tangu tumalize shule akamuoa rafiki yangu, lakini sikuwahi kumjulisha kuwa mumewe chips mayai (anageuzwa).

Juzi kilicho tokea ni kwamba amemfuma laivu mumewe akipigwa fimbo sita assemble (sebuleni) na hausi boy wake, na mke amekosa huduma kwa miezi minne sasa kwa kuwa roketi ya mumewe haipai.

Je kuna uhusiano gani kati ya kugeuzwa na upungufu wa nguvu za kiume?
 
ehheeeeee utataman ufe.....sjui utafanya nin?
 
huyo ameanza mchezo huo sku nyng?jaman sasa ameachana naye au wanaendelea?
 
huyo ameanza mchezo huo sku nyng?jaman sasa ameachana naye au wanaendelea?
mkewe analia tu, naomba wanawake wenzangu hata mni pm tukamfariji mwenzetu
 
Hii mitihani mingine balaa,mpe pole huyo mdada Naz
 
du, dunia inaisha, napata picha profesa anapovimendea vito vya chuo kikuu, sikupa maksi ci unajifanya mjanja wewe! jkt kungekuwa na maafande mafirauni tungeua mtu.
 
Mmh, dunia inamambo kweli, tukiambiwa imeisha twajifanya vichwa ngumu. Issur nyingine bana.
 
Hebu ni pm nikupe maelezo muhimu na ni confidential wewe Nazjaz jinzi ya kuirudishia uhai kamili ndoa hiyo!! Mama atafuta machozi na huyo kisamvu mnara wa voda net itapatikana ndani ya muda wa 12hrs tu!!!
 
duh hiyo kali ingawa nakumbuka kuna mama mmoja naye alirudi nyumbani na kugundua kabisa mumewe karudi ila akimtafuta ndani kwake hamuoni akaamua kwenda kwenye mabanda ya mifugo ndipo alimkuta na mwanamke ambaye pale mtaani kwao ni kama punguani ama mental kiukweli! Hata watoto humtaniatania hovyo.. BP ilimshuka na akaanguka! wanaume tunaendekeza sana udhaifu
 
Ila naamii hakuna uhusiano wa kugeuzwa na upungufu wa nguvu za kiume sana sana ni huyo mkaka kama kaamua kuwa shoga kabisa kuna mbinu zao pengine alifanya hizo mbinu unaware!
 
du, dunia inaisha, napata picha profesa anapovimendea vito vya chuo kikuu, sikupa maksi ci unajifanya mjanja wewe! jkt kungekuwa na maafande mafirauni tungeua mtu.

Tumesikia mara nyingi wasichana wakisemwa wanapewa maksi za chupi, kumbe na wanaume nao wanapewaga ehh? Maajabu!
 
mhh wanaume wa siku hizi jamani..kweli migumegume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…