PAGAMECO
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 1,206
- 1,237
Habari Zenu Wakuu[emoji63]
Ni wiki Kadhaa Zimepita Nikiwa Nimekosa FT access Ya JF kutokana Na Kula "BANNED"
Banner Banner Moods sijui Nilipokosea But nimejikuta Katika Ulimwengu
Mwingine ghafla Bila Ya Kutegemea nikijiuliza Kosa langu Bila kutambua mpaka Sasa
But
Nashukuru Sana Wimbo wa Vitalis" Maembe "SUMU YA TEJA SEGEREA" Umenifariji mpaka Nikajikuta nafuraha kama
Ya Babu seya.
Uteja wangu ni HuMu JF Banned ndio SEGEREA Ukonga ..
Anyway Unaweza Usinielewe siku yakikuta Utaelewa zaidi
but Thanks Moods Kwa Kunitoa Kifungoni
Now Am fight To Be JF expert Member ili Muwe mnaruka Bounce Zangu.
Am Back..Pilot 7[emoji146][emoji775][emoji772]