Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
Jana nilistuka kumuona aliyekua mtangazaji wa Radio One, Amina Mollel kwenye kipindi cha Malumbano ya hoja kinachoendeshwa na ITV. Nakumbuka kwa mara ya mwisho alikua TBC na amekuwa haonekani siku hizi, dhahiri kwa kuonekana ITV huenda amefutwa kibarua TBC.
Kama ni member humu, nina hamu ya kujua yuko wapi siku hizi huyu dada aliyekuwa mpambanaji wa haki zawatu wenye ulemavu nchini.
Kama ni member humu, nina hamu ya kujua yuko wapi siku hizi huyu dada aliyekuwa mpambanaji wa haki zawatu wenye ulemavu nchini.