ni gamba ila ni kichwa sana
kweli amenenepa na kuzeeka ghafla
ni gamba la kutupwa hata ameshagombea nyadhifa mbalimbali kichama, jana anaonekana ametumwa na magamba wenzie
ni gamba ila ni kichwa sana
sijakusoma hapa RutashobolwaSasa nimeelewa kwanini huwa unalalamika kuhusu ITV unafikiri ni ya chadema? Kwakweli nilipenda anavyo endesha mjadala yeye na Heli mabumo hakika wamesaidia kuwathibiti wahuni kabisa! Hongera Amina molel na Henry Mabumo
naona upo out of the context, kipindi hajaendesha Amina Mollel alikua mmoja wa wachangiaji tu mkuu na sina chuki na ITV KAMA udhaniavyoSasa nimeelewa kwanini huwa unalalamika kuhusu ITV unafikiri ni ya chadema? Kwakweli nilipenda anavyo endesha mjadala yeye na Heli mabumo hakika wamesaidia kuwathibiti wahuni kabisa! Hongera Amina molel na Henry Mabumo
sio ANGELLA MOLEKWA WA STAR TV?