Yofav
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 4,236
- 7,583
Oy wakuu habarini,
Moja kwa moja kwenye point, Maisha ya hapa duniani ni mafupi mno na hayana raha yoyote kwani ili uishi maisha yanayoeleweka basi itakubidi uchague njia moja kati ya mbili (amini kwamba)
Katika njia hizo mbili basi kila moja ina changamoto zake so, wewe ndo utachagua na kuamua ni changamoto zipi utazimudu.
Kwa mfano watu tunasikia wameuza roho kwa shetani amini kwamba ni watu walioamua kujichagulia njia hiyo ni dhahiri kwamba changamoto zake walichekecha wakaona kabisa kwamba wanazimudu.
Amini kwamba hakuna njia ambayo haina changamoto, Njia zote zina changamoto kwa kuwa tunaishi katika laana tuliyolaaniwa toka uzao wa kwanza kwahiyo Duniani si mahali salama kwetu.
Lengo la uzi wangu huu ni kukusihi wewe unaesoma uzi huu usiwe neutral (yaani usiejua ukae side ipi kwani hautakuwa na maisha ya maana hapa duniani na akhera... Nakupa mfano;-
Mimi baada ya kuwa kwenye mahusiano niligundua changamoto zake ni ngumu sana kwangu kuliko u-single nilionao sasa... Nimejitafakari nikagundua mimi naweza ku-handle upweke na genye kuliko Hasira na Depression so, nikafikiri na kuona kwa kuwa zipo njia nyingi za kupunguza genye na upweke kwangu mimi basi acha niwe single.... Na nimeona positive impact zake kwani ukiona picha za nilivyokuwa kwenye mahusiano na hivi sasa utasema ni watu wawili tofauti.... Sahivi nimetulia bhana, Ngozi imepoa... Tabasamu kwa mbali yaani Inbox zinajaa sana sema huwaweza wazi kwamba... "If you fill me let's f*ckin go but no fall"
MAISHA NI KUCHAGUA, CHAGUA VYEMA