Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
Kama hawA ndio walimu wa shule za upili bongo, basi afrika ina safari ndefuShida kubwa, kando na jokes zake dry, ni sauti yake ya mwalimu wa driving school. Kanyaagaah..... maafuuutah! Hahaha! [emoji1] Nitamtafuta nimuuzie jokes mbili tatu.
Yaani katika vipengele vyote vya sanaa na burudani wakenya wanatuzidi Kwenye comedy tu. Stand up comedy wakenya wametuacha mbali kwa kweli. Jamani bongo ni shida!!
Hivi ushawahi kuhudhuria stand up comedy za kibongo au hata kuangalia video clip youtube?? Yaani ni pumba tu na vituko flani hivi vya kukera maana wabongo bado wana zile depo za zama za ujima kujipaka masizi au kuvaa mabwanga na marapurapu ili kuchekesha.
Ndio sikatai kwenye mziki tumewaacha mbali hawa jamaa ila kwenye comedy tuna mengi ya kujifunza kutoka kwao unaebisha tazama show ya churchill uone shughuli yake jamaa wapo vizuri huwezi linganisha na hawa wachekeshaji shobo wakina dullvan n.k
Comedian naowakubali sana toka kenya ni pamoja YY dah huyu jamaa ni fundi wa mafundi( kama humjui nenda youtube u'll thank me later) kuna prof Hamo, Rib crakaz na pia kuna Ayeya AKA(so sad katangulia mbele za haki)
wengine ongezea unaowajua.....
#DG
Haaayaa baasi, kanyaagaah..... waaayah. Hahahaa! [emoji1] Kuna mtu hapa leo lazima atanitusi. [emoji23]Kama hawA ndio walimu wa shule za upili bongo, basi afrika ina safari ndefu
Sijakuelewa jombaa, unamaanisha hawa hawa Orijino Komedi? [emoji15]Daaah inamana hata wale wa original comedy hawana viwango kwa hao wakenya?
😂😂ngoja Mamba alias melisaaa akupate. Natoroka mieHaaayaa baasi, kanyaagaah..... waaayah. Hahahaa! [emoji1] Kuna mtu hapa leo lazima atanitusi. [emoji23]
Wewe kumbe ni mwalimu wa haya mambo....hadi tausi unaikumbuka enzi zile zakina master sugu[emoji3577]Hata maigizo ya kawaida walikua wamefika mbali sana sijui walipotelea wapi
1. wakumbuka igizo la tausi enzi zile ITV ndio inaanza? mzee kasri, nk
2. wakumbuka vichekesho vya akina mzee ojwang
3. wakumbuka vioja mahakamani ambavyo walianzisha mahususi baada ya kuwa wanawakamata Watanzania na wakiwapeleka mahakamani wanawashinda ikabidi waanzishe kipindi hicho ambacho mbali na kuchekesha kilikuwa kinafundisha taratibu na mwenendo wa kesi za jinai mahakamani?
4. Nikuulize leo ze komed,orijino komedy na futari kuna kitu wanachofundisha kwenye michezo yao zaidi ya kuongea maujinga ujinga tuu?
5. AFADHALI AKINA MZEE SUMAKU, NA MIZENGWE YAO HUWA MAIGIZO YAO YANAUJUMBE ANGALAU
Fuatilia kwa makini Tanzania kuna vijana wana vipaji vikubwa sana kwenye stand up comedy fuatilia Cheka tu live comedy show inakuja juu sana.ingia YouTube utaona.Yaani katika vipengele vyote vya sanaa na burudani wakenya wanatuzidi Kwenye comedy tu. Stand up comedy wakenya wametuacha mbali kwa kweli. Jamani bongo ni shida!!
Hivi ushawahi kuhudhuria stand up comedy za kibongo au hata kuangalia video clip youtube?? Yaani ni pumba tu na vituko flani hivi vya kukera maana wabongo bado wana zile depo za zama za ujima kujipaka masizi au kuvaa mabwanga na marapurapu ili kuchekesha.
Ndio sikatai kwenye mziki tumewaacha mbali hawa jamaa ila kwenye comedy tuna mengi ya kujifunza kutoka kwao unaebisha tazama show ya churchill uone shughuli yake jamaa wapo vizuri huwezi linganisha na hawa wachekeshaji shobo wakina dullvan n.k
Comedian naowakubali sana toka kenya ni pamoja YY dah huyu jamaa ni fundi wa mafundi( kama humjui nenda youtube u'll thank me later) kuna prof Hamo, Rib crakaz na pia kuna Ayeya AKA(so sad katangulia mbele za haki)
wengine ongezea unaowajua.....
#DG
Hata hivyo sijaona akiwa mbaya sanaaa, amejaribu kuwachekesha kina dada wetu.Eee. Hii ndiyo niliangalia. Bongo teachers tho 😂😂
Wewe pia ni wa zama zile eeh? Dama na Rukia walikuwa wananimaliza sana haswa kwa urembo.Wewe kumbe ni mwalimu wa haya mambo....hadi tausi unaikumbuka enzi zile zakina master sugu[emoji3577]
Mi nipo hapa jiji toka kitamboo.......Mimi kwangu master sugu ndiye alikua mtu wangu, bila kumsahau nyundo wetu rikobe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe pia ni wa zama zile eeh? Dama na Rukia walikuwa wananimaliza sana haswa kwa urembo.
Halafu hiyo ngoma ya fadhili Williams ndio ilikua inamaliza kila kituWewe pia ni wa zama zile eeh? Dama na Rukia walikuwa wananimaliza sana haswa kwa urembo.
Zile siku ni kama Kenya ilikuwa on standstill wakati Tausi inaepeperushwa hewani hata ukitumwa dukani na Mama unasikia kumla na meno...sadly Fadhili williams hakufaidika kwa sana na hiyo hit song.Halafu hiyo ngoma ya fadhili Williams ndio ilikua inamaliza kila kitu
Mizengwe wako vizuri sana wale jamaa...Hata maigizo ya kawaida walikua wamefika mbali sana sijui walipotelea wapi
1. wakumbuka igizo la tausi enzi zile ITV ndio inaanza? mzee kasri, nk
2. wakumbuka vichekesho vya akina mzee ojwang
3. wakumbuka vioja mahakamani ambavyo walianzisha mahususi baada ya kuwa wanawakamata Watanzania na wakiwapeleka mahakamani wanawashinda ikabidi waanzishe kipindi hicho ambacho mbali na kuchekesha kilikuwa kinafundisha taratibu na mwenendo wa kesi za jinai mahakamani?
4. Nikuulize leo ze komed,orijino komedy na futari kuna kitu wanachofundisha kwenye michezo yao zaidi ya kuongea maujinga ujinga tuu?
5. AFADHALI AKINA MZEE SUMAKU, NA MIZENGWE YAO HUWA MAIGIZO YAO YANAUJUMBE ANGALAU
Nakubaliana na Wewe, ila komed ya akina Masanja na wenzake walikuwa wanajitahidi sana...comedians wa bongo ni wale wa mizengwe tu.. hao wengine kina dullvan hadi wakijadili jinsia ndio wanahisi wanachekesha au hadi wakaupake masizi na kuvaa mabwanga
By the way hiyo ngoma ya fadhili Williams ilitungua na MtanzaniaZile siku ni kama Kenya ilikuwa on standstill wakati Tausi inaepeperushwa hewani hata ukitumwa dukani na Mama unasikia kumla na meno...sadly Fadhili williams hakufaidika kwa sana na hiyo hit song.
Hiyo time nakumbuka home kulikua na TV ya black and white ya mbao.....halafu hiyo time ndio Uhuru park ndio ilikua Uhuru park yenyewe,wakati kulikua na boats za kundesha na mwiko......enzi pastor mwiru anajaza uanja wa Uhuru park kuliko mkutano wa sasa[emoji1787]Zile siku ni kama Kenya ilikuwa on standstill wakati Tausi inaepeperushwa hewani hata ukitumwa dukani na Mama unasikia kumla na meno...sadly Fadhili williams hakufaidika kwa sana na hiyo hit song.
Majanga