Amini nakwambia "Alikiba & Christian Bela" ndio wafalme wa masauti afrika mashariki

Traveller X

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2017
Posts
271
Reaction score
305
Ukweli ni kwamba Team Wasafi kwa upande wa masauti mungu hayuko upande wao, Embu cheki kwa makini hii live performance ya alikiba na bela iliyofanyika pale leaders alaf cheki na live performance ya wasafi (iko mwishoni mwa video)
utagundua kua wasafi kwenye upande wa masauti yani bila background music wanapokua jukwaani basi ni wepesi kama karatasi,

Ukweli kiba na bela ni mkali kwenye hizi mambo za kuimba jukwaani bila background music.
 

Tunazungumzia masauti, kiba kajaaliwa sekta hyo bana
 
Kiba hata afanyeji sipendagi hata kumsikia yaani kama mjamzito akichukia kitu ila mie imetoeka kwa kiba
 
Mzee weka hiyo collabo ya kina roze basi mzeebaba.
 
Usitoke nje ya mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…