KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Hako kajamaa ukute ni wewe😅Wanawake ni mashetani tu, take it from me
Huu ni mkweli mchungu sana kwetu wanaume. Mwanamke wako unayemuona kwamba ni mtiifu na mwadilifu, ana kijamaa Fulani hivi huenda hata sio Cha level yako, kinamgonga tu kimasihara.
Hizo level huwa mnazipanga vipi?Huu ni mkweli mchungu sana kwetu wanaume. Mwanamke wako unayemuona kwamba ni mtiifu na mwadilifu, ana kijamaa Fulani hivi huenda hata sio Cha level yako, kinamgonga tu kimasihara.
Sisi wapenzi wa real na Bayern tumeburudika
Umeona ehhSisi wapenzi wa real na Bayern tumeburudika
Unajifariji kwa mambo madogo sanaInategemea, mke wangu namhudunia kimwili na kimahitaji mengine + plus mi handsome anaeeza kwenda na mimi supermarket comfortably. Atafute nini tena?