MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Kvpamsadie vanessa mdee mapema kabla mambo hayajaaribika......
pia aongee na mose iyobo kazi ya udancer inamtosha so upunda sio inshu na itamtokea kwapani.
Tunasonga unaujua?Mi namwambia tu akae akijua mimi km mshabiki wa hiphop sijawahi kusikia ngoma kali kutoka kwake kama "Mstari wa mbele"
Mpaka hivi leo nadhani Haitakuja kutokea tena Kalapina kutoa ngoma kama hiyo.
Huenda nimepata kuusikia lakini sikuweza kujua unaitwaje....fanya mpango niupate plz.Tunasonga unaujua?
Hbd kalapinaNimeona leo kule Shinyanga, anachomekea kuzungumza kwa kisukuma.
Je, haiwezi kuwa ni kuonesha kuwa "mimi ni wenu?" kuna ulazima gani wa kuzungumza kisukuma ktk mkutano unaotazamwa na watanzania wa makabila 120 nchi nzima?
Nawasilisha!
Nimeshangaa sana,kumbe leo ni siku ya kuzaliwa Kalapina,nabii Koko ,Kikosi cha mizinga,mwanaharakati ,hiphop bila madawa, mbunge wa kinondoni, asiyehusika na shoo ashuke, block 41, mbabe nk
Una neno gani la kumwambia huyu mwanahiphop na mwanaharakati?
HarakatiTunasonga unaujua?
Inavyosemekana jamaa ni terminatorHivi hiyo miwani ya jicho moja ni fasheni au ana tatizo?