π mtasema sanaMimi nalaumu sana kwanini timu zimeanza kuwafunga yanga mapema hivi, ilitakiwa zianze kuwafunga baada ya dirisha dogo ili wasijue madhaifu yao wakija kushituka wamekosa ubingwa, hata hii mechi ya leo naombea washinde tu ili wajipe moyo ubora wao umerudi wasihangaike kusajili tena
Hahaha π π π π hahaaaaaaaaaaaa Thiiimbaaaa 5imba Guvu Moya.View attachment 3165773
amini usiamini leo timu mbovu inafungwa tena ikibidi ishuke daraja kabisa msimu huu,we kolo we wacha kukenua meno yasiyopigwa mswaki wiki 6 nazungumzia Namungo ndo timu mbovu lazma ifungwe tena leo pale pale uwanja wao wa nyumbani kama ilivyotokea msimu uliopita,8 march 2024 alibugizwa 1-3 na leo lazma afungwe tena Yanga haijawahi kuwa timu mbovu ...KILA LA HERI DAR YOUNG AFRIKA