GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Katika nchi ambazo zinatoa nafasi nyingi za kazi / ajira ni Sudan ya kusini na Somalia, na hazitoi tu nafasi za kazi bali hata kazi zake zenyewe nazo zina mshahara mkubwa na mnono lakini cha kusikitisha watu hawaombi huko kazi. Nashukuru Mungu sikukuu hii ya pasaka nilifanya ziara Somalia na nikamalizia na South Sudan na kote huko nikapewa salamu hizi njema kwa wenzangu na mimi tunaotafuta ajira kuwa tunakaribishwa sana katika nchi hizo. Hivyo basi kama upo tayari na unapenda kufanya kazi katika hizo nchi andika jina lako hapa hapa jamvini na nitakutafuta ili nifanikishe kukupeleka huko.
Kwa mfano anayefagia tu barazani anapewa mshahara wa usd 300 zidisha mara 1784 utapata thamani yake kibongobongo. Mwenye degree usd 3000, mwenye masters usd 7000 na mwenye phd usd 12000. Ewe Mtanzania, kwanini uteseke hapa Tanzania kutafuta kazi / ajira?
Jichanganye huko Sudan ya Kusini na Somalia kazi zipo nje nje na mishahara yake ni minono kama hiyo niliyoiorodhesha hapo. Mshindwe wenyewe!