Kwangu mziki mzuri ni wenye ujumbe mzuri(mpangilio wa mashairi, kucheza na maneno etc) + utamu masikioni.. Hapa maelezo marefu kidogo.
Mfano. Usiniseme ya ali kiba tamu masikioni ila haina mashauri mazuri.. Mara nyingi nyimbo hizi haziishi daima, kidato kimoja ya jamaa anaitwa sijui J.I vile
Hivyo ngoma tamu kwangu ni dear mama ya 2pac..
Kwanza huyo aliyeimbiwa.. Ndio kiumbe bora kwangu duniani
Pili.. Mashairi yameenda vidudu, primary, mpa chuo kikuu. [emoji119]
Tatu tamu kusikilizika masikioni, kiitikio kimetulia, pac aliflow bomba saana..
Hii ngoma hii basi tu.
Juzi kati nilisikia mama ya NJOMBA NCHUMALI nayo iko bomba.