Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Hao watu (wana CCM) wanachukiana mno na siku ikitimu ya wao kulipana visasi amini nawaambia kwacho kitakuwa kisasi cha kutisha!
CCM hawapendani hatari na sababu hasa ni maslahi yao binafsi na siyo maslahi ya Watanzania ABADANI!
Letu la mno tuombe siku hiyo iwadie haraka ili mpango wa Mungu utimie.
NB: Bashiru siyo Ndugai.
CCM hawapendani hatari na sababu hasa ni maslahi yao binafsi na siyo maslahi ya Watanzania ABADANI!
Letu la mno tuombe siku hiyo iwadie haraka ili mpango wa Mungu utimie.
NB: Bashiru siyo Ndugai.