Mchezaji wa zamani wa yanga amir maftah amesema hayo kupitia ac yake ya instagr..alisema tukio hi lilitokea wakati yye akichezea yanga na nyoso akichezea simba,kitendo hicho kilisababisha amir maftah kumpiga kichwa nyoso na yeye maftah kupewa red card ....soarce efm
Taarifa yake imechelewa sana, mbona hakusema mwaka jana baada ya Nyosso kumtomasa Maguli? Huenda kuna ukweli lakini taarifa yake inakosa mashiko. Nakumbuka kitendo cha kumpiga kichwa Nyosso na kupewa kadi nyekundu ilitugharimu sana Yanga na ndio ulikuwa mwisho wa Amir Maftah kuichezea Yanga. Kama tatizo ni Nyosso wa Simba ilikuwaje akajiunga na Simba na kucheza pamoja na mbaya wake? Maftah ni wa kupuuzwa, hana pointi.
Nyosso kafanya kosa, ahukumiwe kwa kosa hilo, maneno ya akina Maftah yamelenga kumchafulia nomino zaidi.
Mkuu,kutamka "flani amenitia dole" kwenye jamii inahitaji ujasili na timing ,sio kitu rahisi kama unavyofikiri...alafu maftah kwenda simba ambako kulikuwa kuna nyoso alie mtia dole unafkiri kuna ubaya gani,yy alikwenda smba kimaslahi ukizingatia kuwa yanga ilimuacha...maftah kuyasema hayo saa hz hakufuti ukweli kwasabb hajalazimishwa kusema na wala haina maslahi kwake
Mkuu yahoo nakubaliana na hozakoako kuwa kukaa kimya hakuondukwelieli. Kwa kuwa aliamua kunyamaza analazimika kunyamaza milele, maneno yake kwa sasa ni sawa na uzushi tu alitakiwa aeleze kwa nini alimpiga head Juma Nyosso huku akiwa hana mpira, lilikuwa ni tukio la fedheha si tu kwa Maftah bali na klabu ya Yanga. Kwa kupewa red card akiwa beki wa kushoto mikia walitulazimisha kulala mapema siku hiyo na kuacha kusoma magazeti na kuacha kusikiliza vipindi vya michezo kwa siku kadhaa. Tangu siku hiyo sipendi kumuona wala kusikia jina lake la Maftah.
Ningepata Number ya Juma Nyoso ninge furahi sana , kuna aliye nayo?
taarifa yake imechelewa sana, mbona hakusema mwaka jana baada ya nyosso kumtomasa maguli? Huenda kuna ukweli lakini taarifa yake inakosa mashiko. Nakumbuka kitendo cha kumpiga kichwa nyosso na kupewa kadi nyekundu ilitugharimu sana yanga na ndio ulikuwa mwisho wa amir maftah kuichezea yanga. Kama tatizo ni nyosso wa simba ilikuwaje akajiunga na simba na kucheza pamoja na mbaya wake? Maftah ni wa kupuuzwa, hana pointi.
Nyosso kafanya kosa, ahukumiwe kwa kosa hilo, maneno ya akina maftah yamelenga kumchafulia nomino zaidi.
Unataka upigwe dole,?
Mkuu yahoo nakubaliana na hoja zako kuwa kukaa kimya hakuondoi ukweli. Kwa kuwa aliamua kunyamaza analazimika kunyamaza milele, maneno yake kwa sasa ni sawa na uzushi tu alitakiwa aeleze kwa nini alimpiga head Juma Nyosso huku akiwa hana mpira, lilikuwa ni tukio la fedheha si tu kwa Maftah bali na klabu ya Yanga. Kwa kupewa red card akiwa beki wa kushoto mikia walitulazimisha kulala mapema siku hiyo na kuacha kusoma magazeti na kuacha kusikiliza vipindi vya michezo kwa siku kadhaa. Tangu siku hiyo sipendi kumuona wala kusikia jina lake la Maftah.