No reforms, no elections.wakuu
Ni kama October Tunatiki imeanza kupenya na No Reforms No election inasahaulika
=====
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Katavi Ndg. Amir Said Katalambula amewasihi Wananchi wa Mkoa wa Katavi kupiga kura za kishindo Kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kutokana na Utekelezaji wa Ilani ya CCM Kwa kishindo katika Mkoa huo wakati wa Mkutano wa Hadhara wa Mwenyekiti wa UVCCM TAIFA Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) katika Uwanja wa Inyonga - Mlele Mkoani Katavi.
wakuu

Kabisa. Sisi watanzania wenye akili timamu hiyo ya kutiki haituhusu!Mtajijua wenyewe mtiki, mchore mbandike, mbandue haituhusu
Hata sihangaiki mimi, nikiwa mzima wa afya Nina mambo mengi tuu ya kufanya siku hiyoKabisa. Sisi watanzania wenye akili timamu hiyo ya kutiki haituhusu!
Hakuna haja Wala sababuYaani nikapange foleni kupiga kura haitokaa itokee, 😂
Amini ya kuwa au nikae nisikilize ety siasa nshahaama huko, mimi kabisaHakuna haja Wala sababu
Kwako na kwa wa watu wa aina yako tick imeingia kabisaaa kunakowakuu
Ni kama October Tunatiki imeanza kupenya na No Reforms No election inasahaulika
=====
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Katavi Ndg. Amir Said Katalambula amewasihi Wananchi wa Mkoa wa Katavi kupiga kura za kishindo Kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kutokana na Utekelezaji wa Ilani ya CCM Kwa kishindo katika Mkoa huo wakati wa Mkutano wa Hadhara wa Mwenyekiti wa UVCCM TAIFA Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) katika Uwanja wa Inyonga - Mlele Mkoani Katavi.
View attachment 3365572