Amisi Tambwe peleka malalamiko TFF

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Aiitaji hata mwanasheria
mwone mtu anaitwa jamal malinzi mweleze shida zako ukiona akuna dir nicheki pdidy nimcheki uncle wangu shida iko wapi

usikimbizane na magazeti ooh simba naidai..andika malalamiko..simba na yanga wanajua wakimzulumu mtu wapi anaenda chukua hela zao yaani aizidi hata michezo mitano kwa kijipesa chako mpwa

unakula raha mstarehe
 
Hiyo amri ingetoa na amri kwa huyu mchezaji hatari kutokucheza mpira bila kuvaa helment maana kichwa chake kina madhara makubwa kwenye timu pinzani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…