Nebuchadneza
JF-Expert Member
- Oct 6, 2023
- 435
- 1,093
Habari za humu.
Unaambiwa nyota njema huonekana asubuhi na malaika wa heri hutembelea watu asubuhi na kuwapa riziki za siku nzima, hakuna tajiri anayelala mpaka saa 2 au 3, watu wote waliofanyikiwa huwa wanahamka asubuhi na kufanya haya:-
1- Kumuomba MUNGU akupatie ulinzi na riziki juu ya siku hiyo.
2-Fanya MAZOEZI angalau push up 30, squat 30 na nyoosha viungo vyako.
3-Andaa mpango mnzima juu ya siku hiyo.
Hii inahusisha wote awe jobless na aliye na kazi, boss mpaka kibaru,sio kwamba huna kazi ndo ujilegeze kulala mpaka kulazimishwa kuhamka.
Fanya hivi iwe utaratibu wako wakila siku maishani mwako na kuhakikishia utayaona mabadiliko mengi maishani mwako,alafu pia muabudu muumba wako siku za ujana wako, we mtu gani hata kuomba hujawahi unategemea ufanikiwe mhhhhh.
Muombe MUNGU wako kila siku na toa sadaka kwa masikini na wanaokuomba kila kukicha mtaani, kumbuka ule msemo unasema ukitoka kushoto utapokea kulia yani titifotati.
Ni hayo tu wazeeeeya.