kopo la chumvi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2021
- 257
- 464
Habari za asubuhi!
Nina mwanangu wa miaka miwili kasoro miezi, jana asubuhi (ijumaa) niliamka asubuhi na mapema na kuanza kufagia banda la kuku. Kumbe na yeye aliamka muda huo huo na kuja kukaa karibu sana na mimi akitaka kuingia bandani bila kuvaa viatu, mama yake alimuita akakataa kata kata.
Ndani ya banda lile kuna kuku wanataga kama watatu ivi na mwingine ametotoa siku mbili nyuma.
Leo asubuhi (Jumamosi) ameamka tena mapema na kuingia bandani, mimi nikiwa nimelala fofofo kutokana na kuchelewa kurudi nyumban (Orlando vs barkane) fainal hiyo.
Uyo mtoto amesomba mayai yote na kuyaleta kitandani na kibaya zaidi mengine yamepasuka, mama mtu anatoka bombani anakuta nyumba nzima imejaa mayai hadi kitandani
Amechukua hadi kifaranga kidogo kakiua Sasa ugomvi ulikuwa baina yake na temba uyo wa vifaranga,,
SIJAWAH KUONA TUKIO KUBWA KAMA HILI TANGU NAANZA KUMLEA UYU BINTI YANGU,, MAYAI ZAIDI YA 18 AMEPASUA DAAH,
Leteni visa vya watoto wenu wadogo mlivyowahi kufanyiwa [emoji1319][emoji1319]