kama Jenerali Manuel Noriega kiongozi wa Panama
Kwani Maduro aliwakosea Nini wamarekani?
Venezuela haijaharibiwa na Maduro, Marekani ndio imechangia pakubwa kuharibu uchumi wa VenezuelaMaduro dikteta kachokwa sana na wa Venezuela
Kaharibu nchi sana kiuchumi na siasa zake za kibwege
Ukitaka kujua aluvyoharibu nchi ambayo ilikuwa iko vizuri angalia hii clip hadi mwisho
View: https://youtu.be/UexU0FIS-TA?si=S3xizn34Xej9ofST
Venezuela has World´s largest oil reserves and other natural resources.
Hiki ndicho Marekani imekitaka Venezuela kwa miaka mingi bila mafanikio
Baada ya Marekani kuona kila njia ya kumpindua Maduro kwa kutumia CIA na mashirika yao kama NED imeshindikana
Sasa wameingiza meli vita kwa gia ya kusema wanataka kupambana na makundi ya wauza madawa ya kulevya ya Venezuela
We stand with Venezuela
Huyo ndio Anko Sam, ana, pretend kama anazuia,drugs cartel wanaoingiza madawa, America kupitia vyombo vya majini,kumbe wajomba, wanania yao, ya, siri!
Maduro Kawa dictator tena 🤨Maduro dikteta kachokwa sana na wa Venezuela
Kaharibu nchi sana kiuchumi na siasa zake za kibwege
Ukitaka kujua aluvyoharibu nchi ambayo ilikuwa iko vizuri angalia hii clip hadi mwisho
View: https://youtu.be/UexU0FIS-TA?si=S3xizn34Xej9ofST
Ni mijinga sana hiyo mijitu ya Pro-WestMaduro Kawa dictator tena 🤨
Nyie watu wenye mahaba na marekani ni washenzi xnaaa
Kabisa mkuu , USA imeziharibu sana nchi za Latin AmericaNi mijinga sana hiyo mijitu ya Pro-West
Maekani ni kiranja wa dunia,akiitwa anaitika najua kuna wanaharakati wa upinzani wamemuitaMaduro dikteta kachokwa sana na wa Venezuela
Kaharibu nchi sana kiuchumi na siasa zake za kibwege
Ukitaka kujua aluvyoharibu nchi ambayo ilikuwa iko vizuri angalia hii clip hadi mwisho
View: https://youtu.be/UexU0FIS-TA?si=S3xizn34Xej9ofST
Mkuu mbona wewe ni pro-chinese na hakuna mtu anakuwaga anakuattack direct kama hivi bali kwa hojaNi mijinga sana hiyo mijitu ya Pro-West
Kwahyo ww ukishakuwa pro west au pro chinese hauwezi tena kutumia akili yako yaani unakuwa ww kazi yako ni ku support tu hata km unaona hapa sio sawaMkuu mbona wewe ni pro-chinese na hakuna mtu anakuwaga anakuattack direct kama hivi bali kwa hoja
Maduro atatorokaNaona alichofanyiwa sadam hussein kinataka kupiga hodi kwa maduro na nchi yake.
Hoja nimeshatoaMkuu mbona wewe ni pro-chinese na hakuna mtu anakuwaga anakuattack direct kama hivi bali kwa hoja