Ammwagia tindikali mchepuko wake kisa kaachwa

Wasabato mna nini?Huku mnasema Yesu anakawia kurudi,Je ataikuta Imani?!;;!!
 
Dah kipindi niko sekondari kile kipindi cha makambi aisee nimedinya vitoto vya kisabato sio poa
 
Ndio ni wasabato mkuu, ila wazinzi na waasherati sio wao tu, hata madhwhebu mengine wanazini mkuu.
Hata maandiko,yasema sio wote wanitao Bwana, Bwana wataingia kwenye ufalme wa mbinguni,Tusistaajabu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…