Hayo ni maoni yenu, mnadhani sisi tunajiweka kitakatifu kumbe walaa, mbona mimi na-declare kila siku hapa nawekana, tena na uzee wangu!!Ndio, mmejiweka kitakatifu sana msio na makandokando kuanzia nje mpaka ndani how comes mnaongoza kwa kutembeza
Oya emu tulia kwanza wanakwaya nawajua vizuriMbona mi naimba sana choir?
Unaimba sauti ya ngapMbona mi naimba sana choir?
Mbona naimba kwaya na sijaona wanaowekana kwetu mkuu?Hapa tupo sambamba mkuu nawaelewa sana wanakwaya maana nishahudhuria vikao vyao mara kadhaa story zao tu unachoka
Wewe hujaona ila mimi nimeona nimekwambia nimewahi kuhudhuria vikao vya wanakwaya mara kadhaa naelewa wana misamiati mingi sana ambayo haijulikaniMbona naimba kwaya na sijaona wanaowekana kwetu mkuu?
Wewe ni kweli na atakaebisha anakaribia kuparalyze😀 wasabato wanapenda mno uke mkuu usibishe! Nmekulia kwenye maadili ya kisabato mko vzr mtoto anakuwa kwa kumpendeza Mungu ila sasa, sio wachungaji sio waalimu ni hatari 🔥Hayo ni maoni yenu, mnadhani sisi tunajiweka kitakatifu kumbe walaa, mbona mimi na-declare kila siku hapa nawekana, tena na uzee wangu!!
Huko RC na KKKT hakuna?Wewe ni kweli na atakaebisha anakaribia kuparalyze😀 wasabato wanapenda mno uke mkuu usibishe! Nmekulia kwenye maadili ya kisabato mko vzr mtoto anakuwa kwa kumpendeza Mungu ila sasa, sio wachungaji sio waalimu ni hatari 🔥
Ya pili🤭Unaimba sauti ya ngap
Wapo ndio lakini hawajajiweka kitakatifu kama huko kwenu..Huko RC na KKKT hakuna?
Hahaha nimechekaWewe ni kweli na atakaebisha anakaribia kuparalyze😀 wasabato wanapenda mno uke mkuu usibishe! Nmekulia kwenye maadili ya kisabato mko vzr mtoto anakuwa kwa kumpendeza Mungu ila sasa, sio wachungaji sio waalimu ni hatari 🔥
Nieleze namna wadabato wanajiweka kitakatifu nami nijue.Wapo ndio lakini hawajajiweka kitakatifu kama huko kwenu..
Sungura Pori? Hahaha
Elvis Kakutana Na Nyama Tamuu Ya Sungura Pori,,Utakuwa Wa Kuku Wa Kienyeji,,Kitu Nta Imesetiwa Haswa Na Yule Muumba,,Kaona Isiwe Taabu,,Wagawane Majengo...
Na Ikawe KHERII Kwa Kila Mmoja Kwenye MAISHA Yao Mapya...
###HujafaHujaumbika###
Cc:Elvis
Cc:Claire Mary..(Sungura Pori)
Hahahaha nikikumbuka nisha kuwa mwimba kwaya nachoka sana😜Ya pili🤭
Picha linaanza kila kitu ni dhambi! Kuvaa hereni, nguo fupi, kusuka, kupaka rangi kucha, kufanya kazi na kununua au kuuza kitu siku ya sabato, kula bata, mdudu na samaki wa magamba ni dhambi! Kila kitu ni dhambi.. imagine sasa mtu afanye hivi vyote kwa usahihi ila tamaa za mwili zinamshinda!Nieleze namna wadabato wanajiweka kitakatifu nami nijue.
Uje unitumie picha umevaa suti la kilokole nikuone nicheke🤭Hahahaha nikikumbuka nisha kuwa mwimba kwaya nachoka sana😜
Papuchi ni tamu ila haijafikia hatua ya kumwagiana tindikali na kuharibiana maisha🤔
Dini zote wana uasherati ila ndugu zetu hawa huwa nahisi labda kwao sio dhambiSDA na uasherati damdam
Hahahaha nikivaa hata tambara la kudekia utaona ni swaga😅Uje unitumie picha umevaa suti la kilokole nikuone nicheke🤭