Ammwagia tindikali mchepuko wake kisa kaachwa

mazinzi ya madhabahuni hayo yamechapwa kiboko na kuumbuliwa uovu wao waliouficha kwa muda mrefu,
 
Duu Hakuna Hata wa kuwaonea Huruma Waja.

Inasikitisha kuona hali kufikia hatua hii. Hatujui yote yaliyojiri, lakini maisha ya binadamu ni ya thamani sana.

Pole kwa wahusika wote, na haki itendeke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…