Strategist7
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 810
- 1,644
Chanzo cha tatizo huwa ni kutokuelewana malengo. Ni asili yetu wanaume kujitoa kusaidia/kuwatunza tuwapendao. Shida inakuja pale unakuta unayejitolea kwake kiasi hicho hajui, hapendi, hatambui, au hathamini unachomfanyia halafu na wewe mwanaume unayejitolea kufanya hayo yote hujui hilo. Kifuatacho hapo mara nyingi huwa ni majanga.Mi huwa nasikitika sana nikionaga hivi, inamana nyie Me hamnaga kingine cha kuwafanyia wapenzi wenu ili mwishowe msiwaletee haya madhara hadi muwasomeshe, mana kuna wengine hadi wanawaua na kuwaua hao wapenzi kisa tu waliowasomesha. Khaaa.!
Huwa inashangaza sana pia sababu kipindi anamsomesha unakuta wala hakulazimishwa na huyo msichana bali ni kiranga chake mwenyewe cha kujifanya anajua kupenda. Lol
Mubadilike jamani ili haya mambo yaishe.
Demu mwenyewe mbona mbaya hivyo, sura ya kiume kabisa. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwa wafatiliaji wa kwaya ya Redemption Ministers Melody watakuwa wanamfahamu dada huyu.
Binti anaitwa Claire Mary amemwagiwa Tindikali na mtu anayedaiwa kutumwa na Ex boyfriendwake aitwaye Elvis !!
Taarifa zilizopo hadi sasa ni kwamba:
Claire ni msichana mwenye umri wa miaka 24, mrembo na mwenye mustakabali mzuri sana wa ndoto yake .
Baba yake Claire ni mchungaji wa kanisa la SDA.
Elvis ni mwanaume aliyeoa na ana watoto wawili.
Wote wawili walikuwa waimbaji hodari katika kwaya ya kanisa la SDA.
Inadaiwa Elvis alimsaidia Claire kugharamia masomo yake ya chuo.
Walikuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa miaka kadhaa, lakini Claire aliuvunja ghafla.
Elvis alijaribu kujiua bila mafanikio baada ya kugundua kuwa uhusiano umefikia mwisho.
Inadaiwa Elvis hakuweza kukubali kukataliwa, hivyo akaajiri mtu mwingine kutekeleza shambulio la kumwagia Claire tindikali kama kulipiza kisasi.
Claire kwa sasa anapigania maisha yake katika Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta (Kenya National hospital)
Elvis amekamatwa na huenda akakaa gerezani kwa muda mrefu, mbali na mke wake na watoto wake wadogo.
Maisha ya wote wawili hayatakuwa tena kama yalivyokuwa awali.
Ni tukio la kusikitisha sana linaloonyesha madhara makubwa ya chuki, hasira na kushindwa kukabiliana na kukataliwa kwa njia ya afya.
Ni mbaya tuseme tu ukweli bila kumumunya maneno.Dem mwenyewe mbona wa kawaida tu
AiseeNenda pale temeke sda chang'ombe kwa wale waimba kwaya n hatari sana
Maugomvi yasiyoisha kila siku kugombania wanaume na wanawake mwaka 2016 kuna kijana mmoja alikuwa anasoma DIT diploma alitaka kumuua binti mmoja kisa mapenz
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwenye makwaya huko wananyanduana sana
Ova
Kutwa kuwashambulia wakatoliki kumbe ndani kwako pia kumeoza.Elvis ni mwanaume aliyeoa na ana watoto wawili.!!!!!!!
Ndani ya kanisa…….Ndugu zetu SDA nadhani ni wakati sasa mpunguze kuwa judgemental, kanisa ni chafu.
Nzuri tu mnalima huko?Naonekana shemeji
Habari yako
💯💯Hakuna kawaida mpaka ujue kawaida hiyo Ina Nini.
Noma sanaUkiwa una familia, jaribu kuweka interests za familia yako mbele. Sasa hapo anaacha watoto na mke anaenda kunyea debe.
Mkuu una nia gani na afya yangu ya akili 🫵🫵🫵🫵🫵🫵🫵🫵😂😂😂😂
Moto tuuu moto moto mto tuuu mkuu ni motoWatu wanapelelekeana moto tuu hawaangalii location wao ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
kabisa mkuuNi mbaya tuseme tu ukweli bila kumumunya maneno.
Halafu ni wenyewe kwa wenyewe sioHawa wenzetu wamezidi😀
Ajui mwenzie ametunza bikra yake ndio maana jamaa amedataHahaha!
Nashangaa hajawahi kuwa nae mahusianoni halafu anasema wa kawaida.
Hahaha!Ajui mwenzie ametunza bikra yake ndio maana jamaa amedata
Acha uoga mkuu, mimi nakupa taarifa… wewe ndo unaamua kuzihisi vibaya! 😃Mkuu una nia gani na afya yangu ya akili 🫵🫵🫵🫵🫵🫵🫵🫵😂😂😂😂
Unataka nikiwa naona tag yako nifungue kwa umakini sana aiseee
Yaani mada unazonitag ni za kutishiana amani aiseee
🤠🤠🤠🤠🫡🫡🫡Huwezi jua pengine ana mambo zaidi ya kawaida