Amnesty International imekuwa ni genge la wasanii

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Kutoa tamko kwa kukurupuka na bila kufanya uchunguzi au kusikiliza upande unaotuhumiwa ni uhuni kama uhuni mwingine.

Hata D.Trump anaziona hizi jumuia za kimataifa kama magenge ya wahuni tu.
 
Mabeberu mnakilosoa mashirika ya Haki za binadamu
 
kwamba kujua huyu ni inzi au sio nzi mpaka utumie microscope?
 
Kutoa tamko kwa kukurupuka na bila kufanya uchunguzi au kusikiliza upande unaotuhumiwa ni uhuni kama uhuni mwingine.

Hata D.Trump anaziona hizi jumuia za kimataifa kama magenge ya wahuni tu.
Mmepigwa kwenye mshono mmeanza kutoka mlio πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…