Hongera sana mkuu je wakike au wakiume?
ulilla wapi??
ulilla wapi??
Uliza gesti gani nawee
sipati picha vile uko xcited kumwona JR.!!! haya ufanye utuwekee picha ukishamuona baby boy.......Nashukuru sana wakuu kwa moyo wenu wa upendo na hekima.
Mtoto ni wa kiume "Amoeba Jr" Ningependa sana kuweka picha yake hapa, lakini ndy hivo ten niko mbali ht mimi sijamuona, hata mama yake ndy amemuona dk 20 zilizopita. Nawaahidi kuwawekea picha yake hapa mara nifikapo home! Mbarikiwe sana wakuu
sipati picha vile uko xcited kumwona JR.!!! haya ufanye utuwekee picha ukishamuona baby boy.......
mpe pole mama Jr. n I wish her a quick recovery!!!