Amoeba jr!!!?...........what a gift!

hongera sana mkuu....Mungu atawajalia afya njema mama na mtoto na wewe
 
Hongera kwa kupata mtoto Mungu amjalie maisha mema na marefu awazalie wajukuu na vitukuu
 
.........Wow!! Congrats Amoeba, what a great news!!:smilez:
 
Hongera sana mkuu..........Mungu awajalie afya njema mama na mtoto na wewe pia.............
 
Hongera saana mkuu, Mungu awajaliie Mtoto, wife, na Mzee( Baba) afya njema na baraka,ktk kila jambo mnalofanya
 
my congratulations to you Amoeba, may the almighty Allah bless you and your family.
 

Hongera sana Mkuu Amoeba... I hope Mama Jr, is much much better now... na Jr naye yuko bomba...

Namuomba Roho Mtakatifu awaongoze katika kumlea...
 
Wakuu bado sijafika home. Ahadi ya picha bado ipo palepale. Nawapenda wote
 
Hongera sana mkuu ila nakushauri usitume picha yake (mtoto) humu kwa kuwa utakuwa ujamtendea haki mtoto wako kama vipi weka ya kwako kwanza na Junior akifika miaka 18 umwombe akikubali ndio uweke picha yake humu

Tunamwombea shemegi apone upesi
 
Wakuu bado sijafika home. Ahadi ya picha bado ipo palepale. Nawapenda wote
stop it hatutaki kumwona kumsikia tu inatosha na baraka zetu zitamfikia ila ukiweka picha utakuwa hujamtendea haki kama vp anzisha blog ndio umweke huko si hapa please please sihafiki hii mpk naingia kaburini
 
Hongera sana kaka, Mungu awajalie afya njema mtoto, mama na wewe pia!
Remember "Mlee mtoto katika njia impasayo naye hataiacha hata atakapokuwa mzee"
 
Congrats Mr Amoeba!...Naamin mama na mtoto wote watakuwa na afya njema, na Mungu ataendelea kuwabarikia sana katika maisha yenu!..Nawe ukawe baba unayejali sana familia!
 
Hongera sana mazee ni jambo la kheri na kumshukuru Mungu ati. Pia utakuwa mkwe wa ndg xspin kwa vile na yeye juzi tu kapata wa kike
 
Congs Mkulu Amoeba!! Mwenyezi aijaze familia yako kwa afya njema na upendo zaidi na zaidi na zaidi.
 
Hongera sana Amoeba mungu awape afya njema mama na mtoto wewe pia mungu akupe hekima za kuiongoza familia yako
 
Wakuu bado sijafika home. Ahadi ya picha bado ipo palepale. Nawapenda wote


Amoeba ni mtizamo tu pls usiweke picha ya mtoto hapa ubaoni ...kama utawatumia kwenye PM zao au yahoo /outlook kwa wale ulio na contact zako hiyo itakuwa poa sana :flypig:
 
Hongera mkuu next time tunamwombea ajifungue mapacha kabisa
 
Mungu amponye haraka JERAHA hilo.. Hongera sana Amoeba..
 
Amoeba ni mtizamo tu pls usiweke picha ya mtoto hapa ubaoni ...kama utawatumia kwenye PM zao au yahoo /outlook kwa wale ulio na contact zako hiyo itakuwa poa sana :flypig:
umeongea point sana leo ungekuwa karibu ningekukandika jibusu ila huko huko uliko pokea MMMMMMWAAAAAAAAAAAAA....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…