Amon na Upendo Kilahiro na Amon Kilahiro aliyeoa Annet

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Awali nilijua Amon ndiye mume wa upendo Kilahiro ila leo nimesikia Amon Kilahiro amemuoa mke wake Annet.
Naomba kujua iwapo nilijua tofauti au upendo aliachana na Amon?
 
Watu wa dar hua wanajua kila mtu anafuatilia mambo yanayotokea huko daslam.
 
Ni kweli hata Saida ameolewa na Salumu sio Kama watu walivyoaminishwa kuwa Sam amemuoa Monica
 
Amon alifunga ndoa na upendo.mwaka 2016 ndoa yao ikasambaratika.Upendo akaolewa na mchungaji mmoja huko USA.Amon naye ndo amefunga ndoa na mwanamke mwingine anayeitwa Anneth.
Mwanamke akiolewa hutumia jina la mumewe la ukoo,Upendo alitumia jina la mumewe ndo akaitwa Upendo Kilahiro.
 
haysee, kumbe taraka hadi kwa wakristo ruksa?
 
Nimesikia hiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…