Amos Makala ex RC wa Katavi aombwe radhi pia ni kuhusu Vitambulisho vya Mjasiriamali

Amos Makala ex RC wa Katavi aombwe radhi pia ni kuhusu Vitambulisho vya Mjasiriamali

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Muungwana akivuliwa nguo huwa anachutama. Rais Magufuli tafadhali achutame.

Kuna kila sababu ya kuamini kuwa vitambulisho vya ujasiriamali vilikuwa vya lazima. Japo Rais Magufuli amejitokeza hadharani na kusema havikuwa vya lazima.

Lakini sote tunakumbuka Amos Makala alitumbuliwa baada ya mkoa wake wa Katavi kugawa vitambulisho vichache zaidi.

Sasa kama kweli havikuwa vya lazima Amos Makala aombwe radhi.
 
Mushaambiwa musipolipa 20000 mgambo wawakamate Sasa leteni ujinga wa kutolipa.
 
kingine ni kwamba Makalla alikuwa Team Kikwete, kumbuka kwamba Team Kikwete wamepukutishwa wote kwenye utawala huu, imebakishwa familia ya Kikwete tu.
 
Back
Top Bottom