Basi ndiyo maana atazidi kuona nyomi kwa mgombea wa chademaUnategemea Magufuli afanye maamuzi ya kukurupuka kisha aombe radhi, hiyo haitatokea kamwe.
Uzuri tushaamua kumnyima kura tarehe 28/10. Kwahiyo John qmebakiza wiki 3 tu za yeye kuwa rais.Mushaambiwa musipolipa 20000 mgambo wawakamate Sasa leteni ujinga wa kutolipa.
Kwa kweli inabidi alitimize hilo jqmbo lake . Maana aliongoza kura za maoni Mvomero akakatwa pia.Amos Makala ana Jambo lake tarehe 28 October.