yaani mtu a,ekuwa bosi wa UVCCM kwa miaka kadhaa,
kwa sasa ni mweka hazina wa chama tawala afu mtu anasema eti hafai hata kwa ukatibu kata,
afu kwa hoja ya ukaribu na mafisadi[au labda wanamtandao]mbona hata spika alikuwa[sijui kama katoka]mwanamtandao lakini sasa kawageuka,labda na makala nae amebadilika je,
kwamba makala anaiba pesa za chama kwa kutumia nafasi yake ya mweka hazina,hivi chama kama CCM kinaweza kuwa na signatory mmoja tu akaweza kutoa pesa?
simuungi mkono wala simtetei makalla najaribu kufikiria tu sababu zinazotolewa kumkataa mtu