The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
mwenezi ameongea jambo la maana sana kwa mustakabali mpana wa ustawi, amani na afya ya demokrasia nchini πAkihojiwa na vioa msemaji wa ccm ndugu amosi Makalla amesema anasikitishwa sana hali ndani ya chadema.
Msemaji huyo amesema mambo yanayomsikitisha ni kuona chadema wanakiri kuna hela chafu zimemwagwa huko na pia kuna migawanyiko mikubwa ndani ya chama hicho ambayo MSINGI wake mkubwa ni kugombea madalaka
Amedai jambo hilo linawafanya ccm wakose wapinzani sahihi
Nyie mataga mnamwaga Hela kwenye chaguz zenu ngazi ya matawi,,,mwenezi ameongea jambo la maana sana kwa mustakabali mpana wa ustawi, amani na afya ya demokrasia nchini π
CHADEMA nayo imesikitika sana na Mishahara na Posho mnazowapa Covid 19 wakati sio Wabunge kwani walikwishafukuzwa uanachamaAkihojiwa na vioa msemaji wa ccm ndugu amosi Makalla amesema anasikitishwa sana hali ndani ya chadema.
Msemaji huyo amesema mambo yanayomsikitisha ni kuona chadema wanakiri kuna hela chafu zimemwagwa huko na pia kuna migawanyiko mikubwa ndani ya chama hicho ambayo MSINGI wake mkubwa ni kugombea madalaka
Amedai jambo hilo linawafanya ccm wakose wapinzani sahihi
Makalla: Rushwa Chadema inawafanya CCM Wakose Mpinzani SahihiKumbe Zitto na zambarau yake hana uzito wowote!?
Hakika Chadema ni kisiki.
Ndiyo maana tunaamua ku print fomu moja tu ππ ya mgombea.Akihojiwa na vioa msemaji wa ccm ndugu amosi Makalla amesema anasikitishwa sana hali ndani ya chadema.
Msemaji huyo amesema mambo yanayomsikitisha ni kuona chadema wanakiri kuna hela chafu zimemwagwa huko na pia kuna migawanyiko mikubwa ndani ya chama hicho ambayo MSINGI wake mkubwa ni kugombea madalaka
Amedai jambo hilo linawafanya ccm wakose wapinzani sahihi
kwahiyo umekaa mahali unafutahi makamu mwenyekiti anavyo fyumu, anavyolialia na kubwekabweka hovyo eeπ€£Nyie mataga mnamwaga Hela kwenye chaguz zenu ngazi ya matawi,,,
Halafu mnajifanya wemaaaaaaaaaaaaa
Si mngezikataa na kuwaumbua hadharani waliotaka kuwapa? Mtoa rushwa na mpokea rushwa wote ni kitu kimoja.Zimemwagwa ndiyo lakini kutoka wapi???
walifukuzwa na bado wanajadiliwa hadi kamati kuu Chadema kila mara, na hata kesho watajadiliwa tena πCHADEMA nayo imesikitika sana na Mishahara na Posho mnazowapa Covid 19 wakati sio Wabunge kwani walikwishafukuzwa uanachama
Akihojiwa na vioa msemaji wa ccm ndugu amosi Makalla amesema anasikitishwa sana hali ndani ya chadema.
Msemaji huyo amesema mambo yanayomsikitisha ni kuona chadema wanakiri kuna hela chafu zimemwagwa huko na pia kuna migawanyiko mikubwa ndani ya chama hicho ambayo MSINGI wake mkubwa ni kugombea madalaka
Amedai jambo hilo linawafanya ccm wakose wapinzani sahihi
Mti unaanza kukatwa matawi au shina?Si mngezikataa na kuwaumbua hadharani waliotaka kuwapa? Mtoa rushwa na mpokea rushwa wote ni kitu kimoja.