Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Amos Makalla amesema Chama hicho kimejipanga kushinda kwa kishindo kwenye uchaguzi Mkuu unatarajiwa kufanyika mwaka huu 2025.
"Mimi niseme huyo mwenye uafadhali angekuwa CCM, hatuwezi kuwa na mgombea ambaye yuko Chama kingine, hatuwezi kuchagua upande wakati sisi hatuko Chama hicho, kwahiyo huyo ambaye labda anahusishwa na CCM basi angekuwa huku CCM, lakini yuko Chama kingine, hakuna anayeogopwa, CCM imejipanga, kipimo chetu tumeanza na Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu tumepanga kushinda kwa kishindo"