Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Ndugu Amos Makalla amesema stori zote mtandaoni wakati wa kura za maoni zilikuwa zinahusu CCM kuendesha mchakato huo katika kuwapata wawakilishi wa chama hicho katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Ameongeza kuwa kuna vyama vinajiita vya Demokrasia lakini vimeshindwa kuwapata wagombea wao kwa njia ya Demokrasia.
Soma Pia: Amos Makalla: Tulipokuwa tunajiandaa na Uchaguzi wenzetu walikuwa kwenye Maandamano!
Anasema CHADEMA wao walikaa kama fisi anayesubiria mkono udondoke, walipoona CCM imemaliza mchakato wa kura za maoni wao wakakimbilia kuona watapata wapi.