Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Ndugu Amos Makalla amesema stori zote mtandaoni wakati wa kura za maoni zilikuwa zinahusu CCM kuendesha mchakato huo katika kuwapata wawakilishi wa chama hicho katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Ameongeza kuwa kuna vyama vinajiita vya Demokrasia lakini vimeshindwa kuwapata wagombea wao kwa njia ya Demokrasia.
Soma Pia: Amos Makalla: Tulipokuwa tunajiandaa na Uchaguzi wenzetu walikuwa kwenye Maandamano!
Anasema CHADEMA wao walikaa kama fisi anayesubiria mkono udondoke, walipoona CCM imemaliza mchakato wa kura za maoni wao wakakimbilia kuona watapata wapi.
Walikuwa hawana wanapita maskoni stendi na mitaani unaulizwa kama upo tayari kusimamishwa ukikubali unajaziwa fomu wengine hata kadi hawana wala si wanachama mfano ni tanga!Ndugu Amos Makalla amesema stori zote mtandaoni wakati wa kura za maoni zilikuwa zinahusu CCM kuendesha mchakato huo katika kuwapata wawakilishi wa chama hicho katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Ameongeza kuwa kuna vyama vinajiita vya Demokrasia lakini vimeshindwa kuwapata wagombea wao kwa njia ya Demokrasia.
Soma Pia: Amos Makalla: Tulipokuwa tunajiandaa na Uchaguzi wenzetu walikuwa kwenye Maandamano!
Anasema CHADEMA wao walikaa kama fisi anayesubiria mkono udondoke, walipoona CCM imemaliza mchakato wa kura za maoni wao wakakimbilia kuona watapata wapi.
Kura za maoni huwa zinasaidia nini?
Kupata mgombea anayekubalika na wanachama wengi.Kura za maoni huwa zinasaidia nini?
Huyu jamaa amekuwa hewa kabisa. Yaani amekuwa kama msemaji wa Chadema. Saa zote ni umbea tuu hana mikakati ya kukiendeleza chama chake ccm. Yule Rc wa Njombe was the right candidate. Huu upwagu na upwaguzi ndani ya Ccm haunge kuwepoNdugu Amos Makalla amesema stori zote mtandaoni wakati wa kura za maoni zilikuwa zinahusu CCM kuendesha mchakato huo katika kuwapata wawakilishi wa chama hicho katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Ameongeza kuwa kuna vyama vinajiita vya Demokrasia lakini vimeshindwa kuwapata wagombea wao kwa njia ya Demokrasia.
Soma Pia: Amos Makalla: Tulipokuwa tunajiandaa na Uchaguzi wenzetu walikuwa kwenye Maandamano!
Anasema CHADEMA wao walikaa kama fisi anayesubiria mkono udondoke, walipoona CCM imemaliza mchakato wa kura za maoni wao wakakimbilia kuona watapata wapi.
Hili senge linaiwaza Chadema tu,pumbavu kabisa.Ndugu Amos Makalla amesema stori zote mtandaoni wakati wa kura za maoni zilikuwa zinahusu CCM kuendesha mchakato huo katika kuwapata wawakilishi wa chama hicho katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Ameongeza kuwa kuna vyama vinajiita vya Demokrasia lakini vimeshindwa kuwapata wagombea wao kwa njia ya Demokrasia.
Soma Pia: Amos Makalla: Tulipokuwa tunajiandaa na Uchaguzi wenzetu walikuwa kwenye Maandamano!
Anasema CHADEMA wao walikaa kama fisi anayesubiria mkono udondoke, walipoona CCM imemaliza mchakato wa kura za maoni wao wakakimbilia kuona watapata wapi.
Kumuondoa Makonda kwenye hiyo nafasi na kumuweka huyu bumunda ni sawa na kuruka mkojo na kukanyaga uharo.Huyu jamaa amekuwa hewa kabisa. Yaani amekuwa kama msemaji wa Chadema. Saa zote ni umbea tuu hana mikakati ya kukiendeleza chama chake ccm. Yule Rc wa Njombe was the right candidate. Huu upwagu na upwaguzi ndani ya Ccm haunge kuwepo
Sasa mbona Lowasa alikatwa lakini akaonyesha Maajabu kupitia Chadema 😂😂Kupata mgombea anayekubalika na wanachama wengi.
Voic dei, voic populi.
Ndugu Amos Makalla amesema stori zote mtandaoni wakati wa kura za maoni zilikuwa zinahusu CCM kuendesha mchakato huo katika kuwapata wawakilishi wa chama hicho katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Ameongeza kuwa kuna vyama vinajiita vya Demokrasia lakini vimeshindwa kuwapata wagombea wao kwa njia ya Demokrasia.
Soma Pia: Amos Makalla: Tulipokuwa tunajiandaa na Uchaguzi wenzetu walikuwa kwenye Maandamano!
Anasema CHADEMA wao walikaa kama fisi anayesubiria mkono udondoke, walipoona CCM imemaliza mchakato wa kura za maoni wao wakakimbilia kuona watapata wapi.
NMakalla ni mjinga sn
Ni utapeli na ulaghai wa CCMTena ni punguani.
Kura za maoni ni uwendawazimu, kwa sababu wanaopiga kura hawana maamuzi, ni kama kuwachezea akili.
Kama kweli CCM wanataka demokrasia ndani ya chama, wangefuta kura za maoni, badala yake wawe na uchaguzi wa ndani ya chama. Anayekuwa amechaguliwa na wanachama, ndiye huyo huyo awe mgombea wa chama. Siyo watu wanapoteza muda kwenye kura za maoni,, kisha watu watatu wanaenda kujifungia na kuondoa majina ya waliochaguliwa na wanachama, wanabandika wa kwao.
mwaka 2020, pale Shinyanga, Masele alipata kura 320, akakatwa jina lake na wote waliofuatia, akawekwa katambi aliyekuwa amepata kura 3. Hiyo ndiyo demokrasia anayojivunia Makala. Sasaa huyu kweli kichwani ni mzima?
N