Makalla amenguruma leo kupitia Wasafi FM amedokeza kuwa kutokana na yanayoendelea CHADEMA chama hicho cha upinzani kimekosa uhalali na mamlaka ya kukosoa jambo lolote
Naona unapost wa Id hii na una comment kwa id nyingine.
Mwambie CCM ijifunze siasa za kisasa kwa Chadema ambapo mambo yote yanafanyika kiuwazi kwa ukweli na wagombea wanachuana vilivyo mpaka wananchi tunajua nani anafaa na nani hafai