Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
Badala ya kuongelea ilani ya chama chake anaiongelea CHADEMA ambayo inasemekana imeuwawa na system.😁😆Huyu Mzee anatia huruma Sana
Ajabu sanaaaBadala ya kuongelea ilani ya chama chake anaiingelea CHADEMA ambayo inasemekana imeuwawa na system.😁😆
Sisiemu wenyewe wakikaa nakutuliza akili hawamuelewi huyu jamaa sasa sembuse wananchi? Sijui vigezo gani mnatumia kuchagua hawa watu ni dharau kubwa kwa wananchi? Bashite walimuogopa kwakua nae alikua akiwawasha wao wenyewe kwa 95% wakaona kuna own goal wamtoe mapemaHECHE USIRUSHE MAWE UKIWA NYUMBA YA VIOO - AMOS MAKALLA
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Amos Makalla amemtaka Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kuacha kusambaza propaganda za kusalitiwa bali aseme ukweli yakuwa kuna mgogoro mkubwa ndani ya Chama chao.
Makalla amesema wanaoondoka CHADEMA hawaoni matumaini.
Amos Makalla ameyasema hayo akiwa mkoani Morogoro kwenye ziara.
🤣 🤣 🤣 Utadhani ndio wapinzani!!Huyu jamaa kila akilala anaiota chadema,zz ,😄
Hicho cheo cha Katibu mwenezi kinawafaa watu wajanjs wanaojotambua, kwa mfano makonda alifaa ingawa hao akina makala wakamfanyia figisufigisu hadi kuondolewa sasa imekuwa AiibuHECHE USIRUSHE MAWE UKIWA NYUMBA YA VIOO - AMOS MAKALLA
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Amos Makalla amemtaka Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kuacha kusambaza propaganda za kusalitiwa bali aseme ukweli yakuwa kuna mgogoro mkubwa ndani ya Chama chao.
Makalla amesema wanaoondoka CHADEMA hawaoni matumaini.
Amos Makalla ameyasema hayo akiwa mkoani Morogoro kwenye ziara.
View attachment 3329978
Lisu,Heche wanaiuwa CHADEMA kwa mikono yao.Ni ukweli mtupuHECHE USIRUSHE MAWE UKIWA NYUMBA YA VIOO - AMOS MAKALLA
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Amos Makalla amemtaka Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kuacha kusambaza propaganda za kusalitiwa bali aseme ukweli yakuwa kuna mgogoro mkubwa ndani ya Chama chao.
Makalla amesema wanaoondoka CHADEMA hawaoni matumaini.
Amos Makalla ameyasema hayo akiwa mkoani Morogoro kwenye ziara.
View attachment 3329978
Ukiangalia modeli ya bichwa la huyu guluguja huhitaji kuwa na elimu ya utabibu kujua kuwa ubongo wake ulichelewa kupata oxygen wakati anazaliwa, hivyo apuuzwe kwa kila atakalosema .HECHE USIRUSHE MAWE UKIWA NYUMBA YA VIOO - AMOS MAKALLA
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Amos Makalla amemtaka Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kuacha kusambaza propaganda za kusalitiwa bali aseme ukweli yakuwa kuna mgogoro mkubwa ndani ya Chama chao.
Makalla amesema wanaoondoka CHADEMA hawaoni matumaini.
Amos Makalla ameyasema hayo akiwa mkoani Morogoro kwenye ziara.
View attachment 3329978
Na hao watu ukiwaangalia vizuri watakua wamesombwa na magari, kupewa hizo tisheti na buku tano tano ili waje wapige kelele hapoHECHE USIRUSHE MAWE UKIWA NYUMBA YA VIOO - AMOS MAKALLA
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Amos Makalla amemtaka Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kuacha kusambaza propaganda za kusalitiwa bali aseme ukweli yakuwa kuna mgogoro mkubwa ndani ya Chama chao.
Makalla amesema wanaoondoka CHADEMA hawaoni matumaini.
Amos Makalla ameyasema hayo akiwa mkoani Morogoro kwenye ziara.
View attachment 3329978
Hivi CHADEMA imekufa na kufufuka mara ngapi!!??Lisu,Heche wanaiuwa CHADEMA kwa mikono yao.Ni ukweli mtupu
Virus cinamwendesha ,dawa ndo hvo tena zinakuja kwa kusua suaHuyu Mzee anatia huruma Sana
Tunasubir viruses vya ebola na mpox atuambie vinauzwa duka gani huyu mishavu bwegeHECHE USIRUSHE MAWE UKIWA NYUMBA YA VIOO - AMOS MAKALLA