Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa Amos Makalla akiwa kwenye mkutano wa hadhara Segerea amesema kuwa kuna vyama vinaongozwa kwa misingi ya kikabila na kikanda
Chama cha Mapinduzi (CCM) kina historia ya uongozi katika nchi hii (Jamhuri ya Muungano wa Tanzania), vyama vingine havina historia ya uongozi wa Nchi yetu, kuna vyama ni Sacco's, kuna vyama ni vya familia, kuna vyama ni vya ukanda, kuna vyama vya ukabila, CCM ndicho chama pekee kwenye nchi hii kinachounganisha Watanzania wote, kwa hiyo ombi langu ni kwamba tuendelee kuiamini CCM, kuna mambo mengi yamefanyika ya ilani na yanaelezeka (nimeenda kukagua shule pale Minazi mirefu huwezi kuamini ghorofa limesimama pale, madarasa 20, bilioni 1.7, kutakuwa na lift, vyoo humo humo yaani pale ukifika unaweza kusema hii shule au Chuo Kikuu, hongereni sana.