Baada ya kuwepo kwa sintofahamu ya kuenguliwa kwa wagombea wa upinzani, Amos Makalla amejitokeza hivi karibuni na kusema kuwa vyama vya upinzani vinafanya upotoshaji
Makalla amesema kuwa taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu wagombea wa upinzani kuenguliwa zimejaa upotoshaji kwani hata CCM wenyewe wanaenguliwa
Makalla aliongeza kuwa vyama vya siasa havikujipanga na uchaguzi huu kama CCM ilivyojipanga.

Makala hana Akili hata tone mwacheni aendelee kujivua Akili awaulize akina ndugai watamwambia.Uovu ni kitu kibaya sana lkn unapomfanyia mwenzio unaona ni sawa lkn malipo ni hapa hapa na tutayaona kabisa.
Baada ya kuwepo kwa sintofahamu ya kuenguliwa kwa wagombea wa upinzani, Amos Makalla amejitokeza hivi karibuni na kusema kuwa vyama vya upinzani vinafanya upotoshaji
Makalla amesema kuwa taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu wagombea wa upinzani kuenguliwa zimejaa upotoshaji kwani hata CCM wenyewe wanaenguliwa
Makalla aliongeza kuwa vyama vya siasa havikujipanga na uchaguzi huu kama CCM ilivyojipanga.
SG ambassador Dr. Emmanuel Nchimbi katibu mkuu chama dola kongwe CCM apigwa maswali mazito na waandishi wa habari kuhusu uwezo na utashi wa TAMISEMI na hisani ya rais aliye Mwenyekiti kutaka walioenguliwa warudishwe kugombea uchaguzi 2024