Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,534 Reaction score 11,449 Nov 1, 2010 #2 wa chama gani huyu makala?
N Nampula JF-Expert Member Joined Sep 26, 2007 Posts 254 Reaction score 3 Nov 1, 2010 #3 hawajachakachua hap jamani?
C Challenger M Member Joined Oct 31, 2010 Posts 81 Reaction score 2 Nov 1, 2010 #4 makala ni mwekahazina wa CCM:tape:
Z Zion Train JF-Expert Member Joined Jun 5, 2008 Posts 501 Reaction score 78 Nov 1, 2010 #5 makala ni ccm
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,852 Nov 1, 2010 #6 vitendo said: Kura 41,431 Click to expand... alikuwa anachuana na nani....mpinzani wake ana ngapi....tupe fuluu mkuu
vitendo said: Kura 41,431 Click to expand... alikuwa anachuana na nani....mpinzani wake ana ngapi....tupe fuluu mkuu
Gosbertgoodluck JF-Expert Member Joined Mar 3, 2008 Posts 2,855 Reaction score 402 Nov 1, 2010 #7 fisadi kashinda. alianza kujiandaa zamani sana kwa kumfanyia mizengwe fisadi mwenzie saddiq wa morogoro. makala ahakikishe anafanya kazi ya kuwatumikia wananchi vinginevyo kimbunga cha chadema cha mwaka 2015 kitamfyatulia nje.
fisadi kashinda. alianza kujiandaa zamani sana kwa kumfanyia mizengwe fisadi mwenzie saddiq wa morogoro. makala ahakikishe anafanya kazi ya kuwatumikia wananchi vinginevyo kimbunga cha chadema cha mwaka 2015 kitamfyatulia nje.
M mk83 New Member Joined Nov 1, 2010 Posts 2 Reaction score 0 Nov 1, 2010 #8 huyu makala jana tu alikuwa anapumullia mashine leo kashinda yeye.uchakachuaji wa hali ya kutisha:A S angry:
huyu makala jana tu alikuwa anapumullia mashine leo kashinda yeye.uchakachuaji wa hali ya kutisha:A S angry:
Ng'wanangwa JF-Expert Member Joined Aug 28, 2010 Posts 10,827 Reaction score 4,176 Nov 1, 2010 #9 Erickb52 said: wa chama gani huyu makala? Click to expand... Chama Cha Makala (CCM)
Genekai R I P Joined Feb 9, 2010 Posts 12,514 Reaction score 4,998 Nov 1, 2010 #10 Hizi ndo data hatutaki kuziona, ni chama gani, chadema, labour, ccm, updp, cuf, nccr, KANU, mdc, DP, tpp, ODM au anc?
Hizi ndo data hatutaki kuziona, ni chama gani, chadema, labour, ccm, updp, cuf, nccr, KANU, mdc, DP, tpp, ODM au anc?