Amos Makalla ni moto humfuata yeye au yeye huufuata Moto kwenye Masoko? Sababu ni nini?

Kwahiyo hapa magazeti yaandike kwamba. Makalla anatembelea moto harafu ndani waelezee
Fahamu hili.

Mwaka 2008 wakati soko la Tunduma linaungua moto mkuu wa wilaya ya mbozi alikua Amos Makalla.

Mwaka 2017 wakati soko la Sido, mbeya linaungua mkuu wa mkoa alikua Amos Makalla.

Mwaka 2021 wakati soko kuu la kariakoo, Dar mkuu wa mkoa ni Amos Makalla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…