Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Msemaji wa CHADEMA kupitia majukwaa ya CCM ndugu Amos Makala''Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika amesema 'No Reforms, No Election' imepingwa na watawala, hiyo si kweli kwa sababu 'No Reforms, No Election' imeanza kupingwa ndani ya CHADEMA wenyewe kwa wenyewe kupitia group la G-55, baadaye ikaja kupingwa na vyama 17 vya siasa (ukiondoa CCM) vilivyoamua kushiriki uchaguzi, na Watanzania pia wameipinga kwa sababu wanajuwa umuhimu wa kushiriki uchaguzi" -Makalla
Ni sehemu ya kile alichokisema Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CPA Amos Makalla Mei 23.2025 Shinyanga, wakati akihitimisha ziara ya kikazi ya siku saba (7) kwenye mikoa ya Kanda ya Ziwa.
Jiji la shinyanga wwe utakua mfuass wa chauma sisi ccm hatuna watu wasiyojitambua kwa kiwango hchiiKatibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla amesema madai ya kwamba kauli ya "No Reforms, No Election" imepingwa na watawala si ya kweli, kwa kuwa kauli hiyo ilianza kupingwa ndani ya CHADEMA yenyewe kupitia kundi la G-55, kabla haijakataliwa na vyama vingine 17 vya siasa (ukiondoa CCM) vilivyoamua kushiriki uchaguzi.
Makalla amesema hayo Mei 23, 2025, katika jiji la Shinyanga wakati akihitimisha ziara ya kikazi ya siku saba kwenye mikoa ya Kanda ya Ziwa. Aidha, amesema hata Watanzania wameipinga kwa sababu wanajua umuhimu wa kushiriki uchaguzi.
For regular civil servants within ministries only:Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla amesema madai ya kwamba kauli ya "No Reforms, No Election" imepingwa na watawala si ya kweli, kwa kuwa kauli hiyo ilianza kupingwa ndani ya CHADEMA yenyewe kupitia kundi la G-55, kabla haijakataliwa na vyama vingine 17 vya siasa (ukiondoa CCM) vilivyoamua kushiriki uchaguzi.
Makalla amesema hayo Mei 23, 2025, katika jiji la Shinyanga wakati akihitimisha ziara ya kikazi ya siku saba kwenye mikoa ya Kanda ya Ziwa. Aidha, amesema hata Watanzania wameipinga kwa sababu wanajua umuhimu wa kushiriki uchaguzi.
ama yeye haitaki wengine tunaitaka na tunasema NO REFORM NO ELECTION.Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla amesema madai ya kwamba kauli ya "No Reforms, No Election" imepingwa na watawala si ya kweli, kwa kuwa kauli hiyo ilianza kupingwa ndani ya CHADEMA yenyewe kupitia kundi la G-55, kabla haijakataliwa na vyama vingine 17 vya siasa (ukiondoa CCM) vilivyoamua kushiriki uchaguzi.
Makalla amesema hayo Mei 23, 2025, katika jiji la Shinyanga wakati akihitimisha ziara ya kikazi ya siku saba kwenye mikoa ya Kanda ya Ziwa. Aidha, amesema hata Watanzania wameipinga kwa sababu wanajua umuhimu wa kushiriki uchaguzi.
Amefanya research kiasi Gani mpaka aje. Na majibu kuwa watanzania hawaitaki.Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla amesema madai ya kwamba kauli ya "No Reforms, No Election" imepingwa na watawala si ya kweli, kwa kuwa kauli hiyo ilianza kupingwa ndani ya CHADEMA yenyewe kupitia kundi la G-55, kabla haijakataliwa na vyama vingine 17 vya siasa (ukiondoa CCM) vilivyoamua kushiriki uchaguzi.